Recent content by Japkas

  1. Japkas

    JamiiForums Tanzania Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

    Tunamshukuru huyo baba yako aliyekuchagulia mama bora na imara. Angezaa na mama lialia asiyewajibika huenda usingekuwa hapo. Baba ni baba bora he chose the best mother for you.
  2. Japkas

    JamiiForums Tanzania Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

    Ndio. Anakuwa alikuja kuaga.
  3. Japkas

    JamiiForums Tanzania Ukimtembelea mgonjwa hospitalini kisha akuulize ni saa ngapi, usimwambie

    Mahututi aliyekuwa hali siku hiyo anaamka mnapiga story za hapa na pale, chakula anapiga vizuri anashushia na juice. Mnaondoka wodini kwa shangwe kwa kuona maendeleo mazuri ya ndugu yenu. Mkirudi tena kumuona mnakuta kitanda cheupe. Enjoy life to the fullest tusiweke vinyongo maisha mafupi
  4. Japkas

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Daah! Ila we kiumbe!! Nakubaliana na wewe🤣🤣
  5. Japkas

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Hiyo wote imetoka wapi wakati wengine kuhug au kuona baadhi ya maungo ya mwanamke signal zinakuwa 100%?
  6. Japkas

    JamiiForums Tanzania Natafakari kwa kina sana,huyu ni mzulu akiwa ametwaa duka moja kwenye ukanda wa maduka!

    Na yule kiongozi wao kichaa wa kutengeneza ajira 2M kwa mwaka utafikiri ni sawa na kwenda chooni
  7. Japkas

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Jamii ya kijiditali ya enzi hizo ndio huo umri wa akina Mh. Zito, Maderu, Ridhiwani, Kitila na Mzee wa nje ya box ambao wengi wao walikuwa humu na wengine wachache bado wapo ila in silent mood. Basi ukiangalia enzi za hao tayari wamehama majukwaa na vijiwe vya kukaa kulingana na umri wao na...
  8. Japkas

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Fanya calculation ya Gawilo lako kwa miaka jumla itakuwa kiasi gani miaka 5-10 ijayo. Then fikiria juu ya appreciation ya ardhi baada ya miaka hiyohiyo. Utagundua ardhi itakupa gawio hata mara 10 au 100 ya gawio la CRDB. Jambo la msingi hakikisha unanua ardhi salama.
  9. Japkas

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    Hao unaowalenga ni percentage ndogo. Kwa jinsi wake za watu walivyo very slopy hata mke wangu hawezi kosa. Speed ya wanawake kutongoza wanaume kwa sasa ni kubwa na wengine tunawapiga tofali. Ila nikijua kwa ushahidi anachapwa ndoa imeisha haturudi nyuma.
  10. Japkas

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    Kununua kiwanja is the best idea!
  11. Japkas

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    Yaani nianze kuweka mashaka ili nipunguze siku zangu za kuishi kizembe wakati mtu kaamua kwa akili yake nyau yake iwe ya jumuiya? Tunajua mnachapika hata kama mnaamini tunawaamini ingawa kiuhalisia tunaishi kwa Machale.
  12. Japkas

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dodoma mwanaume kuliwa kimasihara ni njenje kwa sasa.
Back
Top Bottom