Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.
Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.
Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri...
Nafikiri Clouds wamekuja na ubunifu mkubwa sana katika taarifa za siku za habari,
Pale Babra Hassan, kule Masoud Kipanya\KP na Babie Kabaya
Wanafanya habari isionekane serious na kupunguza zile “kumradhi” na mikwamokwamo
Zaidi kuna entertainment za hapa na pale
Kongole kwao, mawazo na akili...
Kuhusu ada ya masomo nikiwa undergraduate nilikua namake kutafuta fee maana nilikua na mkopo wa serikali na volunteer kadhaa zikaniboost,
Nilipopata admission nilifight idarani kupata research project hivyo research funds ikawa covered (ambayo ni nyingi hela yake) kwa njia hiyo,
Nilikua na...
KUHUSU KAZI ZA ACADEMICIAN (Tutorial Assistant na Ass. Lecturer)
Mambo yamebadilika kidogo kwa public universities wanaajiri kwa ule mfumo wa TRANSFER VACANCIES, maana yake inatakiwa uwe tayari mtumishi wa umma somewhere,
Kwa private universities nyingi zilifungiwa zilizokua zinatoa chemistry...
Nimezunguka sana maofisini kutafuta kazi lakini sijapata, mwenye fursa yoyote iwe ya kilimo, ufugaji, ofisi, biashara au chochote anisaidie;
Below are details:
Umri: Miaka 26
Elimu: B. Sc Chemistry and Biology
[emoji432] Masters of Science in Chemistry
Makazi: Kimara, Dar es Salaam...
TaESA wanapatikana kwenye no hii 0735 221 022, wapigie muda wa kazi wanapokea na wanakutatulia changamoto uliyonayo
Mimi nimewapigia mara kibao wamenisaidia
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita.
Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha.
Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope.
Napmba ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.