Klabu ya Young Africans inamilikiwa na wanachama 100%. Unapotumia neno mmiliki wa timu unakosea. GSM ni moja ya wadhamini kupitia bidhaa zake na klabu nyinginezo zilizoomba udhamini wake.ila pia ni Kit supplier wa Young Africans km ilivyo Sandaland pale simba ila pia anadhamini timu ya taifa
Mo...
Anyway system ya malipo pale darajan ipo controlled na TRA na CCTV camera upiga picha namba ya gari na kutuma kwny portal ya TRA na kupata body type ya gari na kutaja bei. So unapofika pale ujue amount hapangi yule teller pale bali anaelekezwa na system
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Maghembe anatakiwa kushukuru kutokea mkoa usio na wabunge wengi wa CCM ikizingatiwa katika Baraza la mawaziri la JPM hatukupata waziri kutoka mkoa huo hivyo kwa kuwa baadhi ya wasomi walilalamikia sula la umoja wa kitaifa basi ndo maana JPM amelazimika kufunika kikombe ....... apite ila...
Alituaminisha Lowassa ni fisadi kwa miaka 8 aliposhughulikiwa kwa kukatwa akaamia CDMakatugeuka na kusema ni mkomboz wetu mwanambadiliko
Magazeti yakalia ufisad ktk suala la manji kutokufata sheria JPM kamuwajibisha mhusika bw Natty unatugeuka kuwa anasingiziwa eti hahusiki kisa alikua mpambe wa...
Nadhani hicho kingekua kigezo angetangazwa waziri na mkoa anaowakilisha. Tuzingatie uwezo na utashi ktk mambo muhimu ya kitaifa sio kukomalia dhana ya ukanda na mkoa. Kongole sana JPM kwa uteuzi makini
Nanukuu "mgombea urais CCM hayupo kati ya hao qaliojitokeza kutangaza nia. Hata yeye mwenyewe hajajua kua ana sifa za kua rais bali utafika muda tu na wasaa ataambiwa kuwa anafaa aingie kwenye kinyang'anyiro" mwisho wa kunukuu. Hayo ni maneno ya mwenyekiti wa CCM taifa kwenye maadhimisho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.