The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
Jana niliona kwenye vyombo vya habari vya Kenya meli ikishusha watalii zaidi ya 900 toka Ulaya na Marekani ikiwa ni ya pili baada ya nyingne kushusha wengine zaidi ya 1000 juzi.
Naamini haya ni matokeo ya mipango madhubuti ya waziri na wizara husika, ndipo najiuliza huyu waziri wetu aliyeshndwa kwenye wizara nyingi ikiwamo utalii,elimu,kilimo,maji na sasa anarudishwa tena wizara ya maliasili na utalii ktk wakati ambapo Kinana aliwahi kumjumuisha kati ya mawaziri mizigo si kumuonea huyu baba!!!
Why kumrudisha kwenye huu mtiti ktk wizara ambayo mwaka jana iliongoza kuleta fedha za kigeni?
Ikumbukwe pia kuwa ingawa iliongoza kuleta pesa za kigeni ina mapungufu mengi sana. Je, huyu mzee ataleta jipya gani kama si kuturudisha nyuma?
Kazi aliyopewa sii saizi yake hata kidogo ni sawa na kumpa mtoto wa chekechea hesabu ya form three.