Mwaka 1995, CCM ilifanya mambo kama ambayo wameyafanya mwaka huu,mwaka ule CCM iliibuka na mgombea ambaye kiukweli hakuwa kabisa chaguo halisi la wana CCM,Bali alikuwa ni mgombea chaguo binafsi la mwl Nyerere,kwa bahati nzuri kuna mambo mawili makubwa yalitokea kwanza, mwamko wa mageuzi ndani ya...