japanese
Member
- Jul 28, 2015
- 13
- 16
Ni kipndi kirefu sasa kimepita tokea yule msemaji wa UVCCM ambaye alijizolea umaarufu mkubwa baada ya kumkashifu sana Lowassa,kutumiwa na Samweli Sitta kwenye bunge la katiba na hatimaye kuingia kwenye kashfa ya kumshambulia babu yake Mzee Warioba.
Mwisho wa yote jitihada zake zilienziwa kwa kuzawadiwa nafasi ya ukuu wa wilaya.Hivi sasa simsikii tena akiendeleza ule moto wake,amekuwa kimya,akijitokeza hadharani Mara moja moja sana kwa matakwa ya kiitifaki,nafikiri watu wenye hekima wamemkalisha chini huyu kijana na kumfunda.
Makonda ni mgeni sana wa siasa za makundi ndani ya CCM na anaonekana kutokuzijua vizuri siasa hizo wapo wahanga wengi wa siasa za domo kaya ndani ya CCM nitawataja wachache, Mashishanga,Tambwe Hizza,Mangula, Mussa nkanghaa,Mateo Qares,na kijana mwenzake nape ingawaje huyu anabebwa na jina la baba yake.Waliobaki siasa za makundi zimewaumiza kiasi cha kuwapoteza kabisa kwenye medani za siasa.