Hapa hakuna mshindi. Vitendo vya kuua havitatufikisha mbali. Kumbuka huko kwenye vikosi vya majeshi kuna ndugu zao watakao kufa. Hapo ujue jeshi litaasi. Sasa mimi na wewe tutakuwa wapi. Kumbuka watakao aasi wanamafunzo na silaha. Maadui wetu watawaunga mkono kwa kuwapa silaha na mbinu za...
Inashaangaza sana watu wanamlenga sana Dr. Slaa kana kwamba Dr. SLAA ndiyo chadema. Kila taasisi inakiongozi na miiko yake.
Nenda CCM Ukiuke miiko yao na ujaribu kumsaliti Kikwete uone cha moto wake.
Hapa maadili ni muhimu.
Ndugu yangu si kila kitu kutoka kwenye nyaraka kinatolewa kwenye umma. Kuna madhara ya kuwa muwazi sana.
Ndiyo maana kuna msemaji wa maamuzi ya kikao.
Ata vyama vingine hawatoi kila kitu. Vinginevyo utaingia kwenye kashfa ya kuvujisha siri za kikao.
Popote utakapokuwa kuna miiko na maadili...
Ndg yangu.
Elimu ni kitu muhimu sana. Ukitaka kuishi vizuri na kuthaminika ugenini fata tamaduni zao (observe cultural norms) vinginevyo watakushangaa na wakati mwingine kukuchukulia hatua.
Dr Slaa ana social interaction skills.
Naona mimi tusubiri mazungumzo na wapinzani yafanyike. Kuanza kubashiri matokeo si sahihi sana.
Angalau Rais kaonyesha busara yakuleta amani ndani ya nyumba.
Tatizo la viongozi wetu wasaidizi wa Rais wanafikiri pesa ya walipa kodi wa tanzania ni pesa yao. Chai iliyotolewa Ikulu iligharamiwa na pesa za watanzania na si mtu binafsi. Anayejigamba kwamba chai ilikuwa yake basi angewaita nyumbani kwake. Pia yeye ana biashara gani yakutawanya pesa ya familia.
Kuhusu Elimu za Watalaamu wetu zina mapungufu mengi, hasusani mitaala yao, mafunzo na upimaji wake. Digrii za Uzamili nyingi wahusika wanaandikiwa maandiko ya utafiti na data nyingi za juu juu.
Kwa hiyo sishangai mambo kwenda mlama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.