Recent content by january kazumbe

  1. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    Wivu tu ume wajaa kwani mtu kununuwa herikopta kipi cha ajabu je ange nunuwa jete sindo wange adamana
  2. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Rais mtarajiwa wa awamu wa 5 ambaye watanzania wanamhitaji sana

    Kwanza huyo mwakani ata jikuta kajipigiya kura yeye pekeyake tu yani hawa jaa weme vurugwa vibaya
  3. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Kama boss wako ni mwanamke, hii inakuhusu

    Mchunguzi ume nichekesha sana yani huja koseya kabisa
  4. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliivamia DRC kuwatoa M23 mbona kigugumizi kuwang'oa Alshaabab?

    Mimi nawa ambia hawa nimagaidi nalipo jeshi maalum kwajili ya kupambana na magaidi na sio jeshi la kenya au la tanzania lipo marekani na wameshindwa hao wakenya wana jivuruga tu mwishowe watu letee jambajamba na sisi
  5. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliivamia DRC kuwatoa M23 mbona kigugumizi kuwang'oa Alshaabab?

    Wewe wa wapi hayo sisi haya tuhu kama mmarekani alishindwa sisi ndo tuta weza
  6. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Picha: Zari aanika mimba yake hadharani

    Nye kweli hamna kazi ya kufanya mimi sioni cha ajabu sana hopo
  7. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa "kuombwa kugombea", Tunachezea hatma ya Taifa letu!

    Sasa tumesha sema lowasa ndo anaye tufaa
  8. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa "kuombwa kugombea", Tunachezea hatma ya Taifa letu!

    Sasa ivi ikulu atutaki mtu aje kuotea kitambi hapo bli atoke nakitambi chake ainge nacho ikulu
  9. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Hakuna chama kinacho itwa chadema wewe vipi chama ni ACT ndo habari yamjini chadema zilipendwa
  10. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Gari la chama(Je tutafika)

    ACT ndo habari yamjini
  11. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Menu ya nguvu

    Da kaka wewe wa kigoma nini
  12. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa chama ACT Tanzania March 29, 2015, kumbe walikuwa hawajazindua?

    ACT oyeee arakati ziendelee kilechama cha unafi tuna kivunja vunja tuna tupa kule
  13. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa chama ACT Tanzania March 29, 2015, kumbe walikuwa hawajazindua?

    Mimi napinga kama watu hawa shobokei watu subiri tuone hicho chama chenu cha chadema mana mwaka huu ndo mwisho wake
  14. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Unaye mzaniya ndeye kumbe siye acheni kumpiga madongo lowasa kwasasa atutaki mtu atakaye kuja kuleta njaazake ikulu ndoma tunamtaka lowasa
  15. january kazumbe

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Tuko tayari kujiunga ili harakakati ziendelee kaka na unafiki wa chadema tuumalize ACT oyeeee
Back
Top Bottom