Recent content by Janjawid

  1. J

    Kuna watu wameanza kuleta chokochoko hii kauli chadema kuweni nayo makini wanawake ni wakatili zaidi

    Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
  2. J

    Mama Samia tutakuacha mapema sana

    Chonde chonde Mama Samiaa Suluu Hassan,kama hitaji la watanzania kuwa na katiba mpya hutaliona kwa sasa muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
  3. J

    Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Umeandika lakini kajifunze kiswahili vizuri ni taaluma na sio taaruma,ni walevi na sio warevi mwandiko wako tu.
  4. J

    Nani msemaji wa elimu aliyebaki Bungeni? Naona walimu wa private wananyanyaswa sana

    Ujinga wao tu mbona sehemu zingine walimu wanapiga mpunga wa maana 1.8+
  5. J

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Hivi CBE,TIA,DIT,Navyo ni vyuo vikuuu haaaàaaa kama nawaona hivi wanavyokasirika
  6. J

    Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Public and Private Partinership
  7. J

    Mamlaka ya Shinyanga zuieni basi la Aboud no 1 linalotoka Mwanza kwenda DSM, ni bovu

    Lilikaguliwa na halikufaa hivyo kuagizwa gari lingine la Abood kutoka Mwanza kuja kuwachukua abiria kesi ilishia hivyo
  8. J

    Mamlaka ya Shinyanga zuieni basi la Aboud no 1 linalotoka Mwanza kwenda DSM, ni bovu

    Yote kwa yote gari lilisimamishwa na kukaguliwa na abiria wote kushushwa na kupatiwa gari lingine,hii ni nchi yetu sote,ulinzi na usalama wa raia barabarani ni wajibu wetu sote,tuendelee kumsaidia mama Samia
  9. J

    Mamlaka ya Shinyanga zuieni basi la Aboud no 1 linalotoka Mwanza kwenda DSM, ni bovu

    Asante mamlaka za shinyanga Hongereni mamlaka za shinyanga ukaguzi umefanyika na gari ni bovu abiria wanasuburi gari lingine salute police Shinyanga hongera jamii forum
  10. J

    Mamlaka ya Shinyanga zuieni basi la Aboud no 1 linalotoka Mwanza kwenda DSM, ni bovu

    Chonde chonde traffic barabarani, kuna basi la Aboud linatoka Mwanza ni bovu lisimamishwe likaguliwe. Okoeni maisha ya Watanzania liko njiani sasa linaingia Shinyanga mjini.
  11. J

    Watangazi bora wa mpira wa miguu Radioni/Tv

    Wewe Enoch wewe na Yanga yako
  12. J

    Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

    Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo. 1. Awamu ya...
Back
Top Bottom