Recent content by JangoReez

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Me Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali
  2. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    nazo wanataka GPA ya 3.5
  3. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    ivi Scholarship inacover Gharama zote ama ni Sehemu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    ivi tofauti na MD na Amo CO anaweza soma Bachelor zipi tena?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    duuh kwakweli...Mungu atusaidie
  6. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    Pole jembe langu.... so nw umeshapata chuo ama unapamana kitaa na CO
  7. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    Tz uchawi mwingii...ndo maana hatuendelei
  8. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    wanaangaliaga Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho yani Third year so huwa wanachukua GPA ya 1st semester+2nd semester divide by 2 ndo unapata GPA ya kwenda MD au sehemu nyngne unayotaka kujiendeleza so icje ikawa ile GPA ya Mtihani wa mwisho wa Nacte ndo inamchanganya!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    Hatar sana Md theory nyingiii
  10. J

    JamiiForums Tanzania Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

    naona kama wameshalegeza imerudi 3.0
  11. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    ila huwa wanachukua cumulative ya semester zote mbili za third year so isije ikawa hyo 2.9 ni GPA uliyopata katika Final exam ya mwaka wa tatu alaf kumbe semester ya kwanza ulikuwa na GPA ya 3.1 ukaogopa kuomba
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni haya kuhusu GPA ya clinical officer kwenda MD

    ya mwaka wa mwisho tu?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yafanya kufuru, yatoa mikopo hadi mil 50 bila riba

    H ahahahha tisha sanaaaa
Back
Top Bottom