Diploma ya medicine amepata GPA 2.9, ushauri wenu wadau

Mkuu from what I 'hv been observing ni kwamba most of the MDs wamekuwa wakifanya internship huku hospitali za mikoani za misheni ambapo experts ni wakongwe Amos na ni majembe kweli kweli kwa surgeries na matibabu ya kawaida na ukiangalia mda wa kusoma amo alitake 3 yrz diploma na 2yearz za amo istoshe practise wodin uanza first year ya diploma lakin MD hadi afike 4th year na ndo mana hutakaa uskie internship ya amo ,,, sasa sielew kwann kumdharu amo kumuita VODA fasta wakat what MDS does the same to AMOS ,,,,ukitaka thibitisha ili njoo mikoani ujionee they r saving life of our people
Hatar sana Md theory nyingiii
 
Wakuu kuna mwanangu mmoja amepata gpa ya 2.9 ya clinical medicine amechanganyikiwa na ameshalia sana ushauri wenu jaman spate mwanga ajue cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaangaliaga Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho yani Third year so huwa wanachukua GPA ya 1st semester+2nd semester divide by 2 ndo unapata GPA ya kwenda MD au sehemu nyngne unayotaka kujiendeleza so icje ikawa ile GPA ya Mtihani wa mwisho wa Nacte ndo inamchanganya!!
 
Diploma miaka 3,degree miaka 5 .

Ukimaliza shule mshahara 1,480,000 kabla ya makato ya bodi,bima,PAYE,pensheni etc.

Duuh maisha ni hesabu kwa kweli
 
Naomba kuuliza hivi aliesoma technician certificate in Nursing and midwife anaweza kkusoma Diploma in clinical Medicine?
 
Oyo

Kabla hajafanya maamuzi mwambie afanye verification nacte ili ajue ana GPA ya ngapi kutoka nacte maana GPA ya chuo na nacte zinatofautiana anaweza kuta imeongezeka kwa hadi 3.1 hadi 3.3
Kweli kabisa, GPA ya kwenda university ni cumulative, na wengi hawajui inabd aseme semester ya kwanza mwaka wa tatu alipt GPA ya ngp asije akawa analia kumbe ana cumulative 3.5
 
Pole jembe langu.... so nw umeshapata chuo ama unapamana kitaa na CO
Nataka mwaka huu niombe MD na bachelor zingine. Wakinizengua naenda badilisha fani... Ila I was disappointed maana rafk angu tuliapply wote alipt yy alikuwa na 4.5 kitu kikubwa watu wa medicine wajue kuwa na 3.5 tu sio kigezo cha kupata chuo
 
Oyo

Kabla hajafanya maamuzi mwambie afanye verification nacte ili ajue ana GPA ya ngapi kutoka nacte maana GPA ya chuo na nacte zinatofautiana anaweza kuta imeongezeka kwa hadi 3.1 hadi 3.3

Zinatofautiana vp hz GPA
 
Back
Top Bottom