Recent content by jangilaga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Chidi Benzi Achefua Mashabiki kwa Kuvuta Bangi Jukwaani

    Msishangae,,,kwani hamuoni kavaa t shirt rangi gani.??za wake wake wazee WA tembo,,,ndio akili zao hizooooo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ney wa mitego ahamia kwenye mjengo Wake mpya

    Watu mbona mu wagumu kuelewa,,m 180 Ni pamoja na yeye na hilo gari, kusoma hamuwezi hats picha hamuoni???? Picha inaonyesha nn kwani???
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

    Namwombea mzee wetu maisha marefu daima,,ndiye raid wangu ninayemtambua,ndiye kwenye kura yangu na ndiye aliyeniamsha asubuhi na mapema kuwahi foleni ya kumpatia kura,,------ simtambui,,,naona maisha mazuri nyuma ya uingozi WA dk WA ukweli,,were mungu wafunue walio kizani wapate kuiona hii...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Naombeni mnitumie nami nifaidi jamani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Diamond anauhusiano gani na Amina Kimwana?

    Picha tafadhali
  6. J

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Cheki hiyo picha ya binti akiwa na kanga,,,kwanza wanaangalia d sale direction,,tazama vizuri macho Yao utaona reflection ya mwanga either Wa taa au kamera come from d sale direction,,,na tazama kwa makini ile angle miili Yao imekutana karibu na kitambi utaona mikunjo ya t shirt,,, hii picha ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Adam Malima: Simon Group hana vielelezo vya Ununuzi wa Hisa za UDA

    Sidhani na wala si kweli kwamba viongozi Wa tanzania wanarubuniwa kuingia kwenye hii mikataba,,,,her akina mangungo walikuwa hawana elimu,,,Ila hawa wanayo tatizo ni wezi,,so wakienda kugana na mwekezaji hutanguliza kwanza u mm,,kutaka jua atamata nn kwenye huo uwekezaji,,uwekezaji unafanywa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mhe Mtemvu Vs Prof Kapuya

    Kama kawaida,watanzania tu watu Wa kuwaachia wanasiasa wafanye kila kitu,,,sisi ni wazee Wa kusikilizia na kusema,,,ewala,,ingelikuwa nchi nyingine sidhani Kama hawa panya wangekuwa wanapumua uraiani,,na ndio maana wanajigamba kwamba hawagusiki,,,hakyanani lazima watanzania tumkumbuke sana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

    Ama kweli watumishi WA mungu WA vita kubwa Sana,sishangai na sitaki Ku comment, kwani kazi ya mungu ikifanikiwa lazima ibilisi atafute jinsi ya kuivuruga.Gwajima naamini hii vita ataishinda,hzi tuhuma nimezisoma kawa maikinj na comment za watu, nimegundua kitu, hao wore luna uwezekano...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Aibu: JB na Steve Nyerere wapigana bar karibu na msiba wa Kuambiana

    Ha haaaaaa we jamaa Ni mbeya balaaa, sorry au Ni WA kike????? Kaka kawaida ya wasanii WA bongo, maisha Yao bila ya skendo hayaendi,utakuta Kuna movie IPO jikoni wanaitengeneza,,,,,,
  11. J

    JamiiForums Tanzania Amber Rose Wore The Biggest Sunglasses Ever

    HIV huyu dada na Kim WA kanye, ukiacha mbunye zao, Sana vipaji VP vingine???? Maana wamekuwa maarufu bila sababu za msingi
  12. J

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Hawa madogo hawafai hats kidogo,wanaendeshwa kwa nguvu za ndumu, si WA kuungwa mkono hats kidogo, ila waache watakiona cha mtema kuni tukichoka, hatutasubiri wafanye uhalifu ndio wafe, Bali tutawafuata makwao mchana kweupe na kuwateketeza, mi huwa najiuliza hawavijana wanfanya usumbufu wore huu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua bwana Abdul Sisco kuwa Balozi

    Dah, nilidhani Ni sissqo mwanamuziki WA marekani
  14. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Dah! Wadau mmemwaibisha mzee WA watu, na anajifanya kujua kila kitu, ila Ni nature ya ma ccm now, hawataki wasomi washike hatamu ndani ya chama, hats kama umesoma ,basi iwe Ni elimu yenye ufaulu hafifu,ili wajanja waweze fanya yao
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bamutu ya congo

    Hahaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom