Recent content by janeth1

  1. janeth1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda kununa

    Nimejifunza kitu....kumbe akili inakuwa imefubaaa
  2. janeth1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda kununa

    Wanashindana na wanawake, hawajui kuwa wanaheshima sana ndani ya familia....huo ni umama
  3. janeth1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi hawana raha na ndoa zao? Tatizo ni nini?

    Kabisa anasahau kwamba yeye ni baba anaendelea kuendekeza Mambo ya ujana
  4. janeth1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi hawana raha na ndoa zao? Tatizo ni nini?

    Mwanaume vile atakavoishi na mke wake ndo matokeo ya ndo, ukimshirikisha Mambo yako na kumpa heshima kama mke utaipenda ndoa, ila ubabe, ujeshi, usalit, visilani vya bila sababu lazima mtaishi kwa kusuguana. So wanaume jitambueni simameni kama baba sio kuaply ujeshi kwenye ndoa
  5. janeth1

    JamiiForums Tanzania Jaribu kudate na huyu...

    M for mbabe
  6. janeth1

    JamiiForums Tanzania Nimejua kazi ya baba yangu

    Write your reply...Hahahaaaaq umenichekesha sana aisee
  7. janeth1

    JamiiForums Tanzania Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

    Write your reply...Hatariiii pole
  8. janeth1

    JamiiForums Tanzania First eleven yangu ya members wa JF 2019

  9. janeth1

    JamiiForums Tanzania First eleven yangu ya members wa JF 2019

  10. janeth1

    JamiiForums Tanzania Startimes media, huu ni utapeli

    Mwenyewe startim wananiboa sana nalipia hela inaenda bure nimewapigia hadi nimechoka...dawa ni kuwahama wanakera kweli...
  11. janeth1

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    R.I.p Dena upumzike kwa amani.
  12. janeth1

    JamiiForums Tanzania Dena Amsi

    R.I.P mpendwa pumzika kwa amani
  13. janeth1

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

    Sipati maneno mazuri ya kumsifia mme wangu zaidi ya kusema nakupenda sana my husband Mwanyasi your my every thing Mungu akupe maisha marefu...
  14. janeth1

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

    Si mchezo
Back
Top Bottom