Ni kwanini vijana wengi siku hizi hawana raha na ndoa zao? Tatizo ni nini?

Haka kabinti,hasa zaidi nmekachoka kwenye mgegedo(hakana ufundi wowote) na sio kazuri kwahyo sahv nakaona kabaya zaidi,labda nitafute mwanamke mwingine mzur kila idara,ili nisichoke hata kumwangalia yaan awe na mguu mzur,hipsi na ktako cha kuvalia nguo,hik kidem kwasasa knachonivutia tu n tako tu........hik kibint hakina shda kabisa,yaan n aina ya mwanamke ambae nilikuwa namtaka,hana time ya kuchungulia sm yangu,hana time ya kuniuliza nko wapi,hana time kuning'ang'ania hovyo hovyo,pia kanaweza ishi maisha yoyote hata kulala njaa,kina adabu sana
ntakufuata PM unipe number yake
 
Ku
Kama KUCHEAT kunaleta Amani na furaha kwenye NDOA yako ..Kila la.kheri Mkuu.
Usiache wALA usichoke.
Heheh, kucheat kunaleta temporary relief. Ni kama pombe tu unalewa kwa muda kisha ukirudi kwako tatizo liko pale pale.

Wanawake wengine ni wagomvi sana bila sababu za msingi unaona bora ukaishi na mchepuko.
 
Unakuta kijana ameoa au ameolewa hata mwaka haujaisha unashanga anakwambia hana raha na ndoa yake mwingine anakwambia anajuta kuoa au kuolewa anatamani ndoa ivunjike ila kwa sababu ya wazazi anavumilia tu.

Kuna mwingine unakutana naye hata ndoa yake haina mwaka ukikaa nae kutwa kumuongelea vibaya mke au mume wake mwingine anaenda mbali zaidi unashanga anamchukia mwanamke au mwanaume aliyefunga naye ndoa anatamani hata afee aishi kwa Amani.

Tatizo ni nini?
Wanawake wanafata pesa, wanaume wanafata kalio
 
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili tofauti ambao kila mmoja ana mapungufu yake.......katika muktadha huo.....furaha au amani ya ndoa inasimamiwa na misingi mikuu mitatu........

1) KUSAMEHEANA
Kutokana na mapungufu ya kila mmoja wenu......ambapo kukosea ni sehemu ya maisha.......kwa hiyo furaha itategemea uwezo wa moyo wako kusamehe na kusahau matukio.......

2) KUVUMILIANA
Mtiririko wa matukio yenye kukera inaweza kukufanya uone ndoa ni gereza lenye mateso makali.......lakini siku zote ielekeze akili yako kwenye namna ya kutatua badala ya kuhukumu na kuwaza kutengana........hivyo basi katika kipindi hicho unapaswa mvumilivu sana.......

3) KUTHAMINIANA.......
Kutokumthamini na kumjali mwenzi wako kunaweza kuleta mpasuko kwenye ndoa na hivyo kusababisha kukosekana kwa amani.......fanya mambo kwa kujali hisia za mwenzi wako ili kudumisha uhusiano mzuri Kati yenu.......

4) KUHESHIMIANA.......
Heshima ktk ndoa huleta maelewano mazuri ndani ya ndoa......kukosekana kwa heshima ni hatua ya kwanza kukosekana kwa furaha ndani ya ndoa.......
Hizi ndio nguzo kuu za kumiliki furaha kwenye ndoa na kuepuka ligi na magomvi
 
Ni nguvu za wakati. Itafika kipindi mambo ya kuoa/ kuolewa hayatakuwa na nafasi katika jamii.

Mfano mzuri fuatilia Japan, kwao kuoa/ kuolewa sio kupaumbele kwa maisha yao. Wanachojali wao ni kuzaa ambapo me na ke hukubaliana kuzaa mtoto kisha wanamlea wakati huo kila mmoja anaendelea na maisha yake.
 
Hahahahah kitu pekee tutakipokea kutoka Japan ni magari tu 😂! Hayo mambo ya kibwege ya kutengeneza ma "Bastards" sio kipaumbele kwetu.
 
Sjaoa,ila Kuna kibinti naishi nako kiaina,ila nmejkuta nimeanza kukachoka mpaka nataman wanawake wengne nje,nampango nikaambie mkataba umeisha kaondoke,niwe na nunua tu pale ntakapohitaji,sitaman kukaa na mwanamke tena
Tukiwaambiaga humu ..mnatuonaga sisi Ni wahuni 😀😀😀.

Hao viumbe kuishi nao yatakiwa uwe na uvumilivu wa chuma
 
Haka kabinti,hasa zaidi nmekachoka kwenye mgegedo(hakana ufundi wowote) na sio kazuri kwahyo sahv nakaona kabaya zaidi,labda nitafute mwanamke mwingine mzur kila idara,ili nisichoke hata kumwangalia yaan awe na mguu mzur,hipsi na ktako cha kuvalia nguo,hik kidem kwasasa knachonivutia tu n tako tu........hik kibint hakina shda kabisa,yaan n aina ya mwanamke ambae nilikuwa namtaka,hana time ya kuchungulia sm yangu,hana time ya kuniuliza nko wapi,hana time kuning'ang'ania hovyo hovyo,pia kanaweza ishi maisha yoyote hata kulala njaa,kina adabu sana
Basi kumbe Kuna unacho kitafuta na utakipata soon ... Mwanamtaka pabaya weee
 
Mwanaume vile atakavoishi na mke wake ndo matokeo ya ndo, ukimshirikisha Mambo yako na kumpa heshima kama mke utaipenda ndoa, ila ubabe, ujeshi, usalit, visilani vya bila sababu lazima mtaishi kwa kusuguana. So wanaume jitambueni simameni kama baba sio kuaply ujeshi kwenye ndoa
 
Mimi nadhani pia akili za wanandoa hazijakomaa. Unakuta mwanaume anaoa ila anaendeshwa na marafiki yani starehe hajaziacha hajapunguza marafiki wale wabaya wapenda pombe na starehe bado yupo nao. Mwanamke nae hajaacha rfk zake wadangaji wana mpampu kuwa ndoa mbaya mara sie tuko huru tunajirusha tutakavyo ww utazeeka tuu mwanaume mwenyewe hana hela atakufuja tuu. Mwwisho wa siku mivichwa inawaka moto wanaanza kila mmoja anavimba mwisho wa siku hakuna amani wala utulivu. Ushauri wana ndoa wenzangu Ndoa ni zetu, tumeoana sisi na sio rfk wala ndugu zetu. Tumshirikishe Mungu tuwe na hofu ya Mungu ndo zetu zitadumu.
Kabisa anasahau kwamba yeye ni baba anaendelea kuendekeza Mambo ya ujana
 
Hahahahah kitu pekee tutakipokea kutoka Japan ni magari tu ! Hayo mambo ya kibwege ya kutengeneza ma "Bastards" sio kipaumbele kwetu.
Ukichunguza jamii yetu kadiri miaka inavyosogea mbele ndivyo vijana wanavyozidi kupunguza kasi ya kuoa tofauti na miaka iliyopita. Imefikia wakati hata baadhi ya wanawake hawapendi kuzaa watoto.
 
Ni wajibu wa kula mmoja kuiheshimu na kujitoa pamoja na kuilinda ndoa yake.
Mke na mume, kila mmoja anawajibika na kuitunza ndoa yake pamoja na kuhakikisha kila mmoja anakaa kwenye nafasi yake kama mke/mume.

Na ukiona yeyote anajutia kuingia kwenye ndoa alionayo, basi ujue hiyo ndoa waliingia lakini haikua yao.
Huwa nakubali sana Comments zako Mkuu, lakini kama vile umeongea machache !!, hili swali kwenye mada hii linahitaji maelezo marefu Mkuu ??!!
 
Mwanaume vile atakavoishi na mke wake ndo matokeo ya ndo, ukimshirikisha Mambo yako na kumpa heshima kama mke utaipenda ndoa, ila ubabe, ujeshi, usalit, visilani vya bila sababu lazima mtaishi kwa kusuguana. So wanaume jitambueni simameni kama baba sio kuaply ujeshi kwenye ndoa
Kwa comment hii, nitoshe tu kusema kwamba wewe hauijui ndoa kabisa ama una majeraha ya kwenye ndoa yalio sababisha matobo makubwa moyoni mwako, na haujapata kupona.
 
Unakuta kijana ameoa au ameolewa hata mwaka haujaisha unashanga anakwambia hana raha na ndoa yake mwingine anakwambia anajuta kuoa au kuolewa anatamani ndoa ivunjike ila kwa sababu ya wazazi anavumilia tu.

Kuna mwingine unakutana naye hata ndoa yake haina mwaka ukikaa nae kutwa kumuongelea vibaya mke au mume wake mwingine anaenda mbali zaidi unashanga anamchukia mwanamke au mwanaume aliyefunga naye ndoa anatamani hata afee aishi kwa Amani.

Tatizo ni nini?
Tatizo kubwa hapa ni wanawake, unajua wanawake ndio walioingiza dhambi ya kwanza hapa duniani, kwa hiyo matatizo yoyote hapa duniani ukifuatilia nyuma yake yuko mwanaume, wanaume kiasili ni wavumilivu sana, wanawake ndio huwa wanasema kwamba "Aah mimi nilikubali kuolewa ili kuondoa mkosi wa kuonekana sijaolewa", Sasa hapa unategemea patakuwa na ndoa yenye Amani ??, hata Biblia imemtaja mwanamke kwamba ndie anaeweza kuibomoa nyumba (ndoa) yake, Ni mpaka pale wanawake wa leo watakapojirudi na kuenenda kama wanawake wa zamani walioishi kwa Hekima na kumuhofia Mungu
 
Ukichunguza jamii yetu kadiri miaka inavyosogea mbele ndivyo vijana wanavyozidi kupunguza kasi ya kuoa tofauti na miaka iliyopita. Imefikia wakati hata baadhi ya wanawake hawapendi kuzaa watoto
Mkuu.......
Kwa uzowefu wangu nafikiri, Vijana wengi wanakwepa kuoa kwasababu ya uoga wa maisha, kuto kuaminiana, tamaa pamoja na kutokuzitambua nafasi zao ndani ya ndoa.

More practical, anzisha uzi then waulize vijana wanao taka kuoa/kuolewa kwamba "kwanini wanataka kuingia kwenye ndoa??"
Na hii itakua more complicated...🤗
 
Tatizo pesa halafu wanawake wana gubu sana
Kuna rafiki yangu mmoja kaowa mwanamke mrembo sana kabarikiwa kila kitu ila siku wakigombana anamwambia jamaa mi ukiniacha leo naolewa na watu wenye hela wananitaka wengi tu.

Sasa kauli kama hizo hiyo amani au raha ya maisha utaipata wapi ndugu yangu
Ndo shida hii ya kuoa mabinti warembo oa mwanamke jembe mwenye kupiga kazi mwenye kujua kutafuta ela na mwenye upendo wadhati na ww na anaejua tunza familia mm na mke wangu tuna watoto7 naondokaga hm hata miezi 3cpo hm narud hm namkuta mke wangu vzr tuu anaongoza familia vzr tuu sina shaka nae mana tumetoka mbali na tunapendana na kuaminiana sana now nipo Dar yy yupo njombe na watoto ila maisha yanasonga.......
 
Back
Top Bottom