Israel inawapa moral wairan wasome sana sayansi ya kivita na technology kwa kuwaua wanasayansi wa iran na hii itasababisha israel ipate uponzani mkubwa kwasababu iran ina population kubwa kwahiyo watu wakiwa na moral wakiwa macientist itakuwa na macientist wengi sana na hapo ndo mwanzo wa...
Wewe kaka iran ni ishu nyingine historia yao inawalinda hao ni waajemi alafu hao wafarisayo katika Biblia wanaakili kinyama miji yote mikubwa ya ukanda wa ghuba wafanya biashara mashhuri ni wairan ndo maana Israel inafyata mkia kwa Muiran kwasababu wanawajua hao watu hawajawahi kushindwa vita...
Jamani Mwenyezimungu hajakosea kila mtu kumuumbia katika taifa lake sasa hawa marafiki zetu Mnarafta nini kwenye mataifa ya waarabu si mbaki kwenu kama mataifa mengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jesh la TLamp waliwapa Mashoga haki ya kujiunga na jesh tofaut na zamani 30%ya jesh la US ni mashoga kwahiyo sharit wapigwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio waajemi au Wafursi hawajawahi kushindwa vita tangia enzi za mitume.lakini pia changamoto za vikwazo zimezidi kuwaimarisha na kuwa vizuri zaidi asilimia 98 ya population wamepiga shule zaidi course moja technical knowledge kwao ni compasary kwa kila muiran alafu hakuna mashoga wala...
Hii ni Natural Calamity china inawatu wengi sana kwahiyo ecosystem mpaka ibalance kwa watu kufa ili kusudi waendane na resources zilizopo lakini hayo yote ni Mipango ya Muumba Allah(sw)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Wa Tz hamuelewi mzungu hajawahi kutupenda Black hata siku moja wala hajawahi kufrahia maendeleo yetu ndo maana hata HIV katengeneza yeye kutumaliza na ARV ni yeye ili ateke raslmali zetu bure Muache Baba awaite mabeberu tu hawana lolote makatili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.