Mkuu wa CIA nyuma ya mauaji ya Soleimani na yeye auliwa kwa kudunguliwa ndege yake

Kill mashirika makubwa ya kijasusi Yana plant watu was kill sehemu,mfano warusi wanakuwa na mole ndani ya pentangoni etc,
Source ya habari Ni Russia ,inasemwa,
Itachukua mda kujua Kama Ni kweli ama propaganda
Interesting!!
The Taliban Claimed to have shot down the plane.
Russian intelligence source have claimed CIA chief killed in drowned plane.
US has denied the claim but acknowledged the loss of a Bombardier E-11A plane in Central Afghanistan.
Well, imma wait for a better source.
 
Unasikiliza Wachambuzi uchwara wakina Elungata? Taliban na Iran ni Maji na mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujui haya mambo yanavyoeenda,enemy of my enemy is my friend,
Isitoshe general alieshika nafasi ya soleiman,,ameishi Sana afaghnistan Kama balozi,connection mingi Sana,
Isitoshe afaghnistan iko kwenye Iran sphere of influence tangu enzi za Ahmed shah masoud,Hykematiar 1990's
 
Acha kulialia mkuu, all in hell
The Pentagon said the names of the dead service members would be withheld until next of kin have been notified.
...
"A U.S. Bombardier E-11A crashed today in Ghazni province, Afghanistan. While the cause of crash is under investigation, there are no indications the crash was caused by enemy fire. We will provide additional information as it becomes available," Col. Sonny Leggett said.

Source: Two bodies recovered from crashed US military aircraft in Afghanistan

Ni tatizo la kawaida la kifundi lakini maadui wanavyojisifu utadhani wamefanya nini sijui. Walioathirika majina yao yamehifadhiwa hadi ndugu zao watakapojulishwa sijui hao Iran wamejuaje "mkuu" wa CIA alikuwemo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabado MKUU Jiandae Kwakupata Maana Zaidi Maana Haijatosha BadoUS Anaenda Kuondoka Mashariki Yakati Kidhalili Mnooo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200129-202750.png
 
Utasubiri sana Marekani kuondoka Middle East,mlisema yale maandamano ndio yatamuondoa lakini yalipoishia hata wewe mwenyewe hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushabiki😁😁,wewe na Trump Nani anajua zaidi?,Trump anasema 5000 troops in Iraq ndo wamebaki and the number is going down ,na kesho Congress wanavote kuzuia utumiaji was majeshi ya marekani nchini iraq
 
Utasubiri sana Marekani kuondoka Middle East,mlisema yale maandamano ndio yatamuondoa lakini yalipoishia hata wewe mwenyewe hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Alosema Kama Yatamuondoa Ama Kama Yupo Sio Mimi

Ila Yalikua Kiashiria Kama Jamaa Hawamtaki

Suala La Kusepa Litachelewa Tu

Kwan Hata IRAN Siwalikuepo Muda Mrefu Ila Ulipofika Mwaka 1979 Mpaka Sasa Umewaona Tena


Wanaenda tu kutembea kama watalii na ujasusi ila habari zao zilishamalizika.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom