Recent content by jamesmzaver

  1. jamesmzaver

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jehanum na kuzimu

    Kibiblia unakosea sana mkuu kuzimu ndio jehanum ya moto... Ni mangojeo tu ya wafu waliokufa bila kutubia dhambi zao huku huteswa mchana na usiku wakisubiri siku ya hukumu na hapo ndipo watakapotupwa katika ziwa la moto iyo ndio mwisho soma ufunuo 19
  2. jamesmzaver

    JamiiForums Tanzania ..

    Jamaniiiiii huu mtandao wa Halotel umekuaje wadau mbona vifurushi havielewek
  3. jamesmzaver

    JamiiForums Tanzania Tatizo la inzi kunifuata kila sehemu, maana yake ninini?

    Daah izi comments daah ni noma kwa kweliii
  4. jamesmzaver

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Saed Kubenea Land Mark ni saa ngapi?

    Ni kweliii au
  5. jamesmzaver

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    Sawa baba mchungaji
Back
Top Bottom