Press conference ya Saed Kubenea Land Mark ni saa ngapi?

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum
kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark .

Mwenye taarifa kuhusu muda ,?????

KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE
 
Wewe haikuhusu endelea na kampeini ya uzalendo huko mwandiga
 
TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum
kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark .

Mwenye taarifa kuhusu muda ,?????

KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE

tumbo linawaka motoo, hatar sanaaa
 
Kakimbia nini ; tunasubiri mujumuisho ili Dr Slaa hajibu kwa pamoja.

Kubenei bwana .
 
Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo.
 
kubenea alituambia lowasa ni fisadi na anao ushahidi, sasa anatuambia lowasa si fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo.

hanafahamu sote malofa na wapumbavu

mi nipo nje landmark; na maswali kibao.

Sijui kaingia mitini; thubutu kukutana na bwana..................... Angejuuuta kunifahamu
 
Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo.
hii nchi hakika inahitaji mabadiliko makubwa sana , vinginevyo haitaendelea milele , umeulizwa habari ya press conference wewe sijui unajibu madudu gani ?
 
Mkuu Imekuuma Sana Unapokumbushwa Uliyoyasema Nyuma Leo Unayapinga.Yan Unapika Mwenyewe Af Unarudia Kula Matapish Yako.Zitto Alisema Weken Akiba Ya Maneno
 
TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum
kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark .

Mwenye taarifa kuhusu muda ,?????

KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE
Hebu ulizia tupe taarifa rasmi
 
Kubenea alituambia Lowasa ni Fisadi na anao Ushahidi, Sasa anatuambia Lowasa si Fisadi na anao ushahidi, huyu mtu si wa kumwamini hata kidogo.

tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania, hatujapata maisha bora sasa tunaambiwa viwanda vidogo na vikubwa na kufufua viwanda lakini hatuambiwi ni nani aliyeviua na ni nani aliyetufanya tuwe na maisha mabovu
 
hii nchi hakika inahitaji mabadiliko makubwa sana , vinginevyo haitaendelea milele , umeulizwa habari ya press conference wewe sijui unajibu madudu gani ?

Kwani wewe haya ndo majibu ya press conference?
 
TumetumiWa jumbe za simu na mwanahalisi forum
kuwa mgombea ubunge jimbo la ubong ; atakuwa na press land mark .

Mwenye taarifa kuhusu muda ,?????

KUHUSU HIYO PRESS. TUJUZE

Amehairisha baada ya kukosa muda wa kurusha hewani live kupitia azam tv, amesema atatangaza tena siku atakayoongea.
 
Back
Top Bottom