Recent content by jameslugendo

  1. J

    JamiiForums Natafuta nafasi ya kazi yoyote

    Mimi ni mwanafunzi nimechaguliwa chuo ila sina uwezo wa kujilipia kulingana na uwezo, hivyo kwa yeyote anayeweza kunisaidia ajira yoyote niko tayari.
  2. J

    JamiiForums Wanatafutwa Wahudumu wa Restaurant ndogo na Mini Bar

    Tufanyeje ili kujiunga.
  3. J

    JamiiForums Kwa anayejua naomba kuuliza

    vipi jamani, naombeni kuuliza hivi muda wa kuappeal bodi ya mkopo umeisha.
  4. J

    JamiiForums Kwa mliosoma/mnaofahamu computer science ifm

    Naombeni mnifaamishe kama ifm inafundisha vizuri kozi hiyo ya computer science, pia naitaji kujua soko la ajila kwenye kozi hii.
  5. J

    JamiiForums Naombeni ushauri

    Poa kaka, asante kwa ushauri
  6. J

    JamiiForums Naombeni ushauri

    mimi cjaichagua, nimepangiwa na tcu wenyewe.
  7. J

    JamiiForums Naombeni ushauri

    naipenda ingawa sijaifahamu kiundani.
  8. J

    JamiiForums Naombeni ushauri

    Mi, nimtoto wa mkulima ila nimepata post ifm computer science na sina uwezo wa kujilipia pia kozi yenyewe nackia haina soko, nifanyeje? Naombeni ushauri wakuu.
  9. J

    JamiiForums Naomba ushauri

    jamani mi ni mtoto wa mkulima, na nimepata post ya computer science ifm, nackia magepu ya ajira ni magumu na mkopo pia, nifanyeje?
Back
Top Bottom