jameslugendo
Member
- Sep 5, 2012
- 11
- 0
Mimi ni mwanafunzi nimechaguliwa chuo ila sina uwezo wa kujilipia kulingana na uwezo, hivyo kwa yeyote anayeweza kunisaidia ajira yoyote niko tayari.

pole ndugu yang naomba kwa imani yako kaa chini mwambie Mungu, usikubali kazi yoyote utajidhalilisha. real