J jameslugendo Member Sep 5, 2012 11 0 Sep 5, 2012 #1 jamani mi ni mtoto wa mkulima, na nimepata post ya computer science ifm, nackia magepu ya ajira ni magumu na mkopo pia, nifanyeje?
jamani mi ni mtoto wa mkulima, na nimepata post ya computer science ifm, nackia magepu ya ajira ni magumu na mkopo pia, nifanyeje?