Dogo usiwe na infiriority complex na profesional yako...makuli na matingo wanakamata warembo wazuri na kuwaweka ndani....iweje wewe na nondo zako uanze kuhaha......Anyway nimegundua una matatizo yafuatayo:
1. Unatatizo la kisaikolojia ndio maana hujiamini.
2. Unapenda mambo makubwa yaliyonje...
Western culture imeharibu sana mabinti....usister du kwa sana, starehe ndio usiseme...uwezo huna unataka uonekane umezaliwa familia za matawi ya juu....uwezo wa kununua hata vocha ya 1000 huna unamiliki simu ya milioni mbili...kazi huna wala biashara unataka umiliki gari na nyumba....yani dada...
Huyu jamaa tayari kashakamilisha hilo zoezi na huyu mama.....anatafuta justication ya watu. Haiwezekani m'ke akuzoee hivihivi mpaka akukalie utupu kama hujaonesha nia ya kuwa nae. Sema umenasa unaangalia namna ya kuchomoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.