Recent content by James88

 1. James88

  Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

  Tukifikia ile hali ya Italy hakuna mtalii atakanyaga Bongo. Hapo ndio utakapoona nzi wa kijani hawana akili. Akili yangu inanituma kwamba mipaka haifungwi ili watu waumwe tupate gawio kutoka WHO then wagawane. Kama kweli kuna watu wamepanga hivyo. I swear, corona itawatafuna na hayo magonjwa...
 2. James88

  Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

  Mimi wakati nasoma O level from home mpaka shule ilikuwa 4km na nilikuwa natembea. Ulikuwa ni mwendo wa 45min tu. Hivyo 5km hata siyo nyingi
 3. James88

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  juice ya tende, mtaani tupo mkuu ni wewe tu
 4. James88

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Me nilishamchana...
 5. James88

  Sitosahau Polisi walivyotuzuia tusifanye maombi ya kumuombea Tundu Lissu baada ya kushambuliwa na risasi

  Ulipaswa kumwambia meko toka zamani apunguze chuki. Haya yote yasingekuwepo.
 6. James88

  Sitosahau Polisi walivyotuzuia tusifanye maombi ya kumuombea Tundu Lissu baada ya kushambuliwa na risasi

  Tuleteeni basi meko hapa tumuone live. Nitatembea uchi mimi walahi.
 7. James88

  Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

  Sasa ndio wameanza kujua kuwa kuna ubinadamu eh?
 8. James88

  Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

  Kila mtu atavuna apandacho, tusilazimishane kutaka mavuno mema kwenye pando la mtu, lets be serious in harvesting time!!! Mlipanda bange halafu mnataka mvune mahindi. Hilo haliwezani
Top Bottom