Recent content by james2012

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Kama hivi(/red)
  2. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie nataka kuhama kota za shule niamie kwangu nani anataka tubadilishane popote ulipo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tuweke U-CCM na U-CHADEMA pembeni kwenye hili la Lema

    Mkuu embu tuoneshe ujinga wa lissu kwenye ile klip upo wapi. Kwenye uzi wako hujaongea point I yeyote ya msingi ila umeonekana una hasira na upinzani na hiyo siyo fair mkuu mungu unakuona
  4. J

    JamiiForums Tanzania Babu ameniusia Kuowa mwanamke Anayenipenda na Si nnayempenda...

    Kwanza nimefurahi kusikia kauli " kwanini tujitese wakati tunaishi mara moja" ni kweli haina haja sasa turudi kwenye Uzi Babu kwa maneno yake na kwa akili yangu pana hayo maneno angeniambia mimi ningeelewa hivi " katika wasichana ninaowapenda wapo kati yao wanaonipenda tena kwa dhati ila tabia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

    Mkuu iyo klip utayoleta itakua jpm ameongeza hela kutoka bil. kumi km ni ile ile klip tulia nayo mana kila mtu anayo tayar .
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

    Bora hatatutakia kheri ya sikukuu mana ukawii kusikia kutumbua tena alfu aharibu sikukuu kwa watu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

    Alfu hiyo sim ukiiba sio tu utajulikana ulipo itaonesha hadi chakula unachopenda kula
Back
Top Bottom