Recent content by James Nsiko

  1. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Majibu kama yako lazima niliyategemea tu Hufikirii kama uoinzani walilia sana na huyu jamaa na familia take m waachiwe huru kwa kipind kireefu sas hilo LA Lissu kupigwa risasi hapa linahusikaje brooo
  2. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    Mzee hiyo kitu asikwambie mtu no fireeeeeee
  3. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutongoza mademu mijeda wakiwa kwenye gwanda tubadilishane uzoefu

    Hahaahaa kweli nilipopita uliza kiatu!!!! Mkuu hiyo kitu iko poa Sana cha msingi usimchezee mzee utajuta...''utakunywa maji ya kunawa na unawe maji ya kunywa!!!''[emoji23][emoji23]
  4. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa picha hii tafadhali anisaidie kuelewa na mimi

  5. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Nape akana kuwa na 'Press Conference' huku akiwataka waache kupiga ramli juu ya kesho

    Ukiifatilia siasa utalala hoi
  6. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kujifunza kuhusu " Sumu ya kumuua mumeo"

    Hakika nimeelewa
  7. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Hahaa hakuna move ilinitisha Kama saladin enzi hizo
  8. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania USALAMA NI NN?

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kweli huu ndo usalama
  9. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA RAISI MAGUFULI TAR 29 Oct

    Kwangu mimi haina umhimu wowte kuienzi siku hii coz this is personal.issues so hii inajikita kifamilia zaid so kiinchi zaid,,,
  10. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Sikulazimishi ila huu ndiyo mtizamo wangu wa Kiufundi baada ya Kariakoo Derby

    Ukianza kuisema team eti kimataifa huifikirii kufanya vzr unakuwa unakosea,,, Kama Jana kimepangwa kikosi kile na kimeweza kutoa draw na kikosi bora kabisa Kama kile cha simba Kama si mbinu za huyo kocha yanga walikuwa wanakula nyingi mzee baba!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
  11. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

    Una nyumba na watu wanaishi...
  12. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Duh! Kwanza polen kwa msiba lkn kwa maoni yang hapo cha kufanya ni kuishauri. Serikali sas iweze kuwa macho name iupe kipaumbele ugonjwa huu ikiwa ni pamoja na kuanzisha chanjo kwa kila mtoto was 0-5 yrs
  13. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Tabia gani "mbaya" imekushinda kuacha baada ya kuingia kwenye ndoa?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  14. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  15. James Nsiko

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hemu tuione iyo like bas mzee
Back
Top Bottom