Recent content by James Mhangwa

  1. James Mhangwa

    Tabora: Mtu mmoja akutwa amekufa na mwili wake kutelekezwa

    Vipi mkuu unakimbizwa? Tulia utoe taarifa iliyoshiba
  2. James Mhangwa

    Halmashauri hizi hawajaita watu kwenye usaili?

    Samahani mkuu unaweza kuyaweka hapa? Nimeyatafuta sijayapata
  3. James Mhangwa

    ACT Wazalendo wanalaani kauli ya Rais Magufuli juu ya watumishi wa Umma

    2020 lazima nipige kura, hata kama nitakuwa hoi kitandani nitaomba waniletee sanduku nitupie kura yangu.
  4. James Mhangwa

    DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Kawaumbua wapi sasa mbona hujaeleza? Kichwa cha habari na habari havina ushirikiano kabisa
  5. James Mhangwa

    Tumeacha mambo ya msingi tumeanza kutafutana maofisini kwa kurekodiwa

    Aisee wewe jamaa unajitahidi sana kutetea mambo ya kijinga yayofanywa na ccm. Kibaya zaidi unatetea kwa kutumia hoja dhaifu sana ambazo hata mtoto mdogo atadharau.
  6. James Mhangwa

    Katibu mwenezi CCM Wilaya ya Nyasa ahamia CHADEMA, amesema CCM wezi

    Kama una 'kideo' itisha press conf mkuu, ni ruksa.
  7. James Mhangwa

    Benson Kigaila on Star TV: Rais Magufuli anavunja Katiba waziwazi, anaachwaje?

    Hayo masuala ya ndani ya chama sioni kama yana impact yoyote kwa sisi wananchi. Ni vema akajikita kujadili mambo ya serikali ambayo yanatuhusu...
  8. James Mhangwa

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Wewe kwani kanisani huko ulikuwa unakwenda kumwabudu kiongozi wa dini? Sema tu siku hizi hupendi kusali Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
  9. James Mhangwa

    Zitto Kabwe asalimu Amri, Amwagia Sifa Rais Magufuli

    Kumbe wengi hawafuatilii me ndo nimetumbua mimacho kwenye TV hapa nakomaa. Naona wengi mmesimuliwa na kusadiki mara moja wakati mnamjua mleta mada ni Team Lumumba kindakindaki, mnamshambulia ZZK wakati kaongea vizuri tu! Au mna chuki binafsi na jamaa nini? Mleta uzi mwenyewe hajatuonesha ni wapi...
  10. James Mhangwa

    UTALII: Makamo wa Rais ala chakula cha Jioni na Wachezaji wa Everton.

    [emoji3] [emoji3] kamkimbia hadi Rooney Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
  11. James Mhangwa

    UTALII: Makamo wa Rais ala chakula cha Jioni na Wachezaji wa Everton.

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] dunia inakimbia kwa kasi ya 8G Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
  12. James Mhangwa

    Atanipa mwili wake ila hataki nisex naye

    Kuna rafiki yangu hapo unyamwezini ako na case inafanana na ya wewe. Kampata mtoto Isha wa kipare tangu August last year, lakini anapewa mwili tu kuchezea eti papuch ni hapana kugusa. Akawa analalamika na kuniomba ushauri kama vyenye unaomba hapa. Mimi nilimwambia tu in short kwamba 'siku ukiwa...
  13. James Mhangwa

    Atanipa mwili wake ila hataki nisex naye

    Hahaha! Ushauri mzuri lakini mleta uzi ukiufuata naamini utajuta kuikosa papuch... "Chelea chelea utakuta mwana si wako"-Mhenga (1805)... Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
  14. James Mhangwa

    Atanipa mwili wake ila hataki nisex naye

    Mhh wewe jamaa wewe! Inamaana umeshindwa hadi umefika huku? Mtoto wa kipare kakushinda kabisa!? Na juzi umenidanganya ushamdinya! Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  15. James Mhangwa

    Zijue dalili kuwa Mkeo ameshakulisha limbwata la Kutukuka

    Kudadadek! Braza yangu kwisha habari yake!! Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom