Kuna rafiki yangu hapo unyamwezini ako na case inafanana na ya wewe. Kampata mtoto Isha wa kipare tangu August last year, lakini anapewa mwili tu kuchezea eti papuch ni hapana kugusa. Akawa analalamika na kuniomba ushauri kama vyenye unaomba hapa. Mimi nilimwambia tu in short kwamba 'siku ukiwa mwanaume utapewa tu'...
Nadhani baada ya kuona namcheka ndo kaamua sasa kunidanganya kwamba kashaidinya. Naye ako na 23yrs kama wewe. Tofauti pekee niliyoiona hadi sasa kati yenu ni kwamba wewe unamalizia semester ukwende likizo ila kijana kamaliza college...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app