Recent content by James Matamgazo

  1. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Njoo Nikuandikie Tangazo Na Wewe Mapato Yaongezeke Asilimia 102% Ndani Ya Siku 92

    Sio kwa ajili ya kila mtu. Ni kwa wale ambao umeshajaribu kila kitu. Na bado umekwama. Kama unahangaika kupata wateja online. Umetengeneza video yako. Umeandika caption. Umeweka pesa nyingi kwenye tangazo. Na matokeo bado ni hola. Huu ujumbe unakuhusu. Miezi mitatu iliyopita kuna mteja...
  2. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Kuomba kwingi hakusaidii bila kuchukua hatua

    Sijui nani anahitaji kusikia hii. Ila kama una changamoto fulani. Sio mbaya ukienda Kanisani. Au msikitini. Umuombe mungu akupe hekima, nguvu na uzima wa kutatua hiyo changamoto. Tatizo ni kuomba sana bila kuchukua hatua yeyote. Kutumia muda wako wote kusikiliza vipindi vya dini bila ACTION...
  3. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    1. Tengeneza account instagram 2. Uza Simu 3. Lenga watu wenye hofu ya kununua used phone au watu wanaonunua simu kwa ajili ya watu wao muhimu 4. Badilisha account iwe ya biashara 5. Tengeneza tangazo la video lenye mkono wa mwanamke 6. Tuma hiyo traffic kwenda whatsapp namba yako au profile...
  4. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kushare CV kwa Whatsapp number?

    Nilshatengenezaga tangazo la kazi. Nilikua naajiri watu wa sales & call center. Walikuwa wanatakiwa watume cv via whatsapp. Mara nyingi unakuta ni kampuni ndogo (wafanyakazi 5 - 11) na hawana official email. Au kazi wanayoajiri wanajua watu watakao apply ni "low level" au "vibarua"...
  5. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    😅😅😅😅😅😅
  6. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Mwanga artificial (blue light) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani

    Usivae kofia. Na kama tayari kipara kina'ngaa. Hamna unachoweza kufanya. Huu uzi ni kwa mtu ambaye nywele zinaanza kupungua.
  7. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Mwanga artificial (blue light) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani

    Kuna mshipa unaitwa galea aponeurotica Upo zaidi kwenye vichwa vya wanaume kuliko wanawake. Huo mshipa upo katikati ya kichwa. Na ndio maana mtu hapotezi nywele pembeni bali hapo katikati. Huo mshipa uko very sensitive na mwanga. Wanawake hawapati kipara kwasababu huo mshipa ni mdogo...
  8. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Mwanga artificial (blue light) ndio chanzo kikuu cha vipara vyote duniani

    Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara. Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo. Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa...
  9. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka nywele zako zirudi kama zamani fanya haya...

    1. Wazee wa mwaka gani? 2. Na wanaishi kwenye nyumba ya aina gani? Nenda kijijini. Tafuta mzee yeyote yule. Ambaye nyumba yake haina LED LIGHT. Nyumba yake ni mishumaa au giza nene. Nitafutie mzee mmoja kwenye mazingira hayo ambaye ana kipara. Baada ya hapo rudi Dar. Au mji wowote "modern"...
  10. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka nywele zako zirudi kama zamani fanya haya...

    Siku hizi imekuwa kawaida kushuhudia vijana wa miaka 20 wanapata vipara. Na changamoto kubwa ni muda wanaotumia kwenye simu. Mwanga wa "Blue Light" ndio chanzo kizima cha wewe kupoteza nywele zako. Neno la kisayansi linaitwa "Energetic Alopecia" Huu mwanga unatengenezwa na Taa za LED. Na...
  11. James Matamgazo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza tangazo zuri la Biashara Instagram

    Kabla ya kujisumbua kutumia hela kulipia tangazo Insta au kuboost post. Zingatia haya. Miaka miwili iliyopita nilipata bahati ya kuajiriwa na kampuni moja ya logistics hapa Tanzania. Kazi kubwa ilikuwa ni kutafuta wateja. Siku moja mwenye kampuni alinialika kwenye kikao cha wateja potential...
Back
Top Bottom