ITV sio TBCCM ni kituo cha binafsi na kinafanya kazi kwa kuzingatia taritibu.Kama ww unataka habari za kusifia Ccm angalia taharifa ya habari kupitia TBC kwani ndio wanaofanya kazi ya kuisifia Chama chakavu(CCM).
Lakini pia una haki ya kufungua na ww kituo chako cha TV ili uwe unawasifia hao...
Ukimnyooshea mtu kidole kimoja vingine 3 vinakupoint wewe. NAPE alipigana mwaka huu na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Arusha Ndg Onesmo ole Nangole ktk Hotel ya Corrido spring na hali iliyosababisha miwani yake kuvunjika.
Atuonyeshe yeye basi kwanza mfano wa kujiuzulu na sio kubwatuka tu hovyo km...
Ni kweli Kamanda!! Nataka nikuhakikishie tu kuwa pamoja na jitihada zao zoote za kukuchafua ww na Mkeo lakini leo wameaibika.Pambana Mkuu usikate tamaa japo wahafidhina na "wakabila"(MONABAN NA GENGE LAKE) hawatakosa cha kusema ila wewe usiwasikilize chapa kazi. October ndio watajua CHADEMA ya...
Hii ni bari njema sana kwa Wapenda maendeleo(UKAWA) ila kwa MONABAN na wezi wote(Ccm) ni uchungu sawa na kuwazamishia jiti sehemu za nanihii!!
Wakati sisi tunaendelea kufanya kazi wao wamebakia kuzunguka Masokoni na kijana mmoja mwenye njaa(SHUBERT)kana kwamba ni mtu maarufu sana. Hapo nao...
Ccm kazi yake ilishaisha zamaaaani! Ndio maana unaona migomo ya, Wafanyabiashara,Walimu, Madaktari,JKT,Wafungwa,Madereva,nk.
Kazi iliyobaki sasa ni kuizika Kibaraka wake ACT.October 31 tunatinga IKULU!!
AONYWAYE MARA NYINGI NA KUSHUPAZA "SHINGO""ATAVUNJIKA GHAFLA WALA HAPATI DAWA!!! mwisho wa Kunukuu!!
CCM chama cha Majambazi na wezi walihangaika miaka yote kuwaaminisha Watanzania kwamba CUF na CDM ni vyama vya kidini kumbe wao ndio "wadini"wakubwa.
October 31 ndio siku ambayo Dunia...
Kwenye UDINI ACT kimeonyesha kua ni chama cha Kidini na hilo lipo wazi.
Kiongozi Mkuu wa Chama(Mwislamu) Makamo Mwenyekiti(Mwislamu) Makamu Mwenyekiti Zanzibar(Mwislamu) katika uongozi wa juu Mkiristo ni Mwenyekiti pekee kati ya viongozi 4.
Hiki ni chama cha Siasa ama Kikundi cha Uamsho???
Wasioelewa wataona kua umewakashfu lakini kwa waliojaliwa ufahamu(like me)tunakuelewa.
SIASA za ukabila kwa hapa Arusha zimeasisiwa na Lowassa akiwatumia baadhi ya wachumia tumbo.
Leo wanadhani kua kumsimamisha Phelemon wa Monaban ni ushindi tayari lakini hakika wataisoma Chadema siku hiyo...
Na nyie Wandengereko endeleeni na Genge(CCM)yenu iliyopoteza Dira na mwelekeo.
chadema ni taasis inayojitegemea na kwamba haitegemei umaarufu wa mtu mmoja mmoja.Kwa uhalisia na jinsi wana CCM mnavyolalamika ni dhahiri CHADEMA kimewashika pabaya hadi mnaweweseka,na kujambajamba hovyo.
CCM...
Ndachuwa
Kuilinganisha Ccm na Chadema ni sawa na kumlinganisha Tundu Lissu na Lusinde kwa uwezo wa kujua na kuchanganua mambo.
Chadema ni taasisi na haitegemei umaarufu wa mtu mmojammoja. Hata ingekua ni Mbowe amekipeleka chama mahakamani kanuni na taratibu za chama zingefwatwa tu kama ambavyo...
Chama chenye wabunge wengi waganga wa kienyeji ndicho kinaua Albino.
Ccm watapona tu kwa msaada wa Polisi vinginevyo hata Jimbo moja la ubunge wasingepata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.