commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Kiongozi wa sekta binafsi bwana Ally Mafuruki ambaye ndiye muendesha mdahalo, ametangaza tarehe 18.6.2015 ni siku ya UKAWA wale waliotia nia.
wewe unamaanisha ukawa watia ni wa ngazi ipi,ubunge au urais maana ukawa bado haijasema wala kuchagua mgombea wao wa urais?hii ni mbinu ya ccm kutaka kutuchokonoa ukawa maana watia nia wao wameeleweka ila inategea kujuwa nani anawekwa ukawa:sad: