Recent content by James Emmanuel

  1. James Emmanuel

    Msaada kwa anayefahamu soko la dagaa wa Mwanza

    Piga no.0787354299 atakupa raman ya hiyo biashara
  2. James Emmanuel

    TANZIA: Mch. na Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, John Komanya hatunaye tena

    Mbele yetu nyuma yako mtumish wa Bwana,Bwana akutangulie R,I,P
  3. James Emmanuel

    Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

    mkuu chanel gan watarusha hayo matangazo maana mi nina kig'amuzi startimes
  4. James Emmanuel

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Naomba unijuze kuhusu mayai ya kware yana % flan kutibu vidonda vya tumbo!
  5. James Emmanuel

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Nimepata vipimo sahihi kabisa nikaambiwa ninavyo vya muda mrefu sana,maana naomba ushaur wwote kama kuna tiba mbadala za hosptal ninetumia sana sijapata nafu yeyote
  6. James Emmanuel

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Mkuu nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo naona vimekuwa sugu sasa,ni dawa gan au juis ya matunda ambayo inaweza ikasaidia kupunguza maumivu
  7. James Emmanuel

    Picha: Mtoto amwagiwa maji ya moto na mama wa kambo

    Wanaweke kuwen na huruma,afanyiwe mtto wako utajisikiaje, jaman
  8. James Emmanuel

    Ati nini? Nikae njia kuu?

    Wako 712 inje reli
  9. James Emmanuel

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    wasira anafaa hana kashfa
Back
Top Bottom