Recent content by james brown

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za kwanini simpigii Kura Diamond Bet

    Hii reverse psychology inayotumiwa na wasanii kutafuta die hard fans naielewa sana.. Yaan we na Mwijaku pamoja na Sudy mnachokifanya ni vice versa na watu wanavyopokea. Hii tricky imenifanya nisiwachukie watu wanaonichukia maana wananisaidia kuwajua na kuongeza watu wanaonipenda kwa dhati...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wenye uhitaji wa walimu wa masomo yote njoo hapa tukutane na professional teachers

    Nipo mwanza mkuu ninahizo Qualifications...
  3. J

    JamiiForums Tanzania 27 yrs sina hata demu

    poleee,ila usikate tamaa endelea kukaa hivyo hivyo mpaka siku utakayo amua kumtafuta unaemtaka,"life is how you make it" usisubiri ngekewa brother,utakufa na utam wako hivyo hivyo!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Memberz wote wa jf someni hiiii

    am impressed!!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bia ni bora kuliko mwanamke

    mmh! polee xana kwa akil zako za mgandisho!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Memberz wote wa jf someni hiiii

    hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote ila zna effect flan hiviii,na 4 further info unaweza ukantafuta kupitia no.0756734797 especially...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Urithi Mwema wa Watoto wa Al Shaabab!

    daaah! uko xawaa kabixaaa
  8. J

    JamiiForums Tanzania habari za uhakika kutoka HESLB.

    non-sensee!!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

    haya ni majanga,ila bodi wanachofanya sio poah,viongoz wa vyama pinzan cjui kwanin ili swala hawalion!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni mpenzi wa muvi kitambo, unazikumbuka muvi hizi?

    ebanaa! kitu cha andhaa kanoon kilikua ni nouma! also deadly prey comando kapensi jamaa alikua anatisha!
  11. J

    JamiiForums Tanzania msaada jaman!

    kwa anaejua location ya chuo cha st.joseph campus ya arusha,mazingira yake,upatikanaji wa room za kupanga pamoja na social services kama zipo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania bwana heslb huyooooo

    acha bas kutuharibia cku!
Back
Top Bottom