Recent content by jamc mt

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mama Ndalichako tunaomba mabadiliko haya ya mtaala wa somo la kiingereza A-level

    Kwani wametoa phonology morphology lini
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

    Kama rahisi risiti arts
  3. J

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Naomba ushauri kwa hili HKLnina 2 ya 11kipi bora kwangu kwa degree Ba£d Public administration Na mwenye uelewa na social science nahitaji kueleweshwa ina husu nini
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Wakuu kwa matokeo haya naomba ushauri nikasome kipi HKL 2 ya 11 Education Human resource Utawala Na nichague chuo kipi Msaada tafadhari
  5. J

    JamiiForums Tanzania TCU kuanza kupokea maombi tarehe 20/07/2016(Jumatano)

    TCU inaanza kesho udahili wa chuo kikuu,umepanga kuomba chuo gani
  6. J

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Naomba kujua wakuu naweza ingia udsm kwa matokeo haya dv 2 ya point 11 HKL Kisw C, Eng D,hist D, divinity D Na nikasomee nini.tafadhari ushauri wenu wakuu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Kwa matokeo haya nisomee nini chuo kikuu,Nina 2 ya 11 HKL kisw C ,hist D eng D na divinity D.msaada wenu wakuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Mimi sijaeleqa hapo kwenue point 4,0 naomba kueleweshwa tafadhari
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu vipi vya HKL?

    Jamaa kasema kila kitu ila usisahau Oxford dictionary muhimu sana kwako
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Arts with Education vs Bachelor of Education

    Na Mimi nimeanza pata mwanga niende wapi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha fomu ya mkopo 2016/2017

    Ni kuandika barua tu hapo kuna jamaa yangu kakosea namba ya mtihan ameambiwa aandike barua
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    Nazan Leo
Back
Top Bottom