Bachelor of Arts with Education vs Bachelor of Education

Bachelor of Arts with Education vs Bachelor of Education

Njia rahisi ya kujua tofauti ni kuangalia silabasi zao. Ziweke sambamba ndo utajua ni majina tu au kuna la ziada wapi
Mkuu Bed syllabus yao wanasoma katika kila semester wanasoma four education subjects alaf mawili ndio teaching subject.....

Baed huwa wanasoma four teaching subjects alafu mawili ndio education subject
 
Tofauti yke ni kwamba BA(ed) unakuwa na masomo mawili ya kufundishia say Economics and Geography wakati BED unakuwa na somo moja la kufundishia, na vile vile kwenye soko la ajira it's more economic to employ a teacher with two teaching Subjects BA(ED) rather than a single subject BED

boy. vyuo vingi BED now wanasoma masomo mawili ilikuwa zamani somo moja.
 
ok mwenyewe soft copy ya syllabus aziweke tuone utofauti kama mchangiaji mmoja alivyosema
 
Demba ww,,, hata maelezo yako yana ukakasi
Sioni ukakasi wowote kwenye jibu lake. Alivyo-eleza ni sawa kabisa ingawa sasa hivi kuna vyuo vinahamia kwenye 2 teaching subjects for BED. Hii ndiyo inaleta confusion kati ya original distinction ya hizi degree [BA (ED)-walimu wa sekondari na BED walimu wa TTC] na hali inayojitokeza sasa hivi hadi zinaonekana hazina tofauti kwa wengine. Utaona UDSM (chuo chetu cha kwanza)-BA (Ed) iko College of Social Sciences Shared with College of Humanities na BED iko School of Education kuakisi tofauti hizi hapo awali. UDSM School of Education wamebadilisha mfumo wao sasa wanatoa "The School offers three-year five undergraduate programmes, leading to the award of the following degree programmes:
(i) Bachelor of Education (Psychology) (BEd Psychology)
(ii) Bachelor of Education (Commerce) (BEd Com)
(iii) Bachelor of Education (Early Childhood Education) (BEd ECE)
(iv) Bachelor of Education (Adult and Community Education) (BEd ACE)
(v) Bachelor of Education (Physical Education and Sport Sciences) (BEd PESS)

Utaona hapo ni somo moja kwa undani kabisa.
Additionally, the School offers professional teacher preparation courses to BAEd and BScEd students registered in the College of Social Science (CoSS), College of Humanities (CoHU) and College of Natural and Allied Sciences (CoNAS) respectively. Hapa unachukua two teaching subjects.
Ukitaka BED (Arts) Mkwawa University College of Education-one teaching subject. DUCE hawasemi kiuwazi lakini program structure inaonyesha ni somo moja e.g. political science.
Source UDSM
UNDERGRADUATE PROSPECTUS ACADEMIC YEAR 2015/2016.
 
Bachelor of arts with education (Baed) hii unasoma teaching subject mbili kulingana na masomo utakayopenda kuyafundish mfano (geo na hist)

Kisoko hii inafaida kwa sababu unauhakika kuaijiliwa popote either serekalini au private sector kwani unafundisha masomo mawili.

BED hii ndio ualimu pure kwani unasoma masomo mengi ya ualimu kuliko ya kufundisha. Na pia inategema umespecialise katika Nini. Mfano Bed in psychology, early childhood, au kuna ile ya BED commerce IPO UDSm....

Hasara ya hii koz ni kwamba kuna kipindi walikuwa hawaajiliw na serekali direct kutokana na wengi wao huwa hawasomi teaching subject au wanalomoja kutegemea na Bed IPI amesomea.

Kuna baadhi ya vyuo hii kozi ya BED wameifanyia modification kwamba MTU anakuwa na major teaching subject na minor Ili tuu kukidhi mahitaji ya soko.

Kozi ya BED ni mahsus kwa kufundisha vyuo vya ualimu. Ila vyuo vya ualimu ni vichache kuliko wahitimu Wa koz husika ndio màna soko lake limeshuka mnoo...vyuo vya ualimi vya private vipo ila ajira zake haziangalii sana BeD wanaajili yeyote yule BeD or Baed.


Kama unachagua coz IPI ya kusoma naweza kukushauri Baed. Ila kama umesoma HGE au EgM au ECA kama matokeo yako yanaruhusu omba BEd commerce udsm ukisoma hii utasoma teaching subject za commerce na accounts
Ni moja kati ya potential koz za ualimu kwa sasa.
You can be a teacher or other post related with accounts na commerce
I got something
 
niwekeen bas syllabus niichek kat hzo mbili
ili kupata ukweli
 
Mkuu Bed syllabus yao wanasoma katika kila semester wanasoma four education subjects alaf mawili ndio teaching subject.....

Baed huwa wanasoma four teaching subjects alafu mawili ndio education subject
Wewe si mkweli, hakuna mwalimu yyte anaesomea masomo manne ya kufundisha kwa ngazi ya diploma na degree.
 
Back
Top Bottom