Kwa History nunua Mastering history advanced level 1&2 vya Katto unaweza kuongezea na cha Zisti, kwa kiswahili Nyambari akuhusu na kwa Language nunua English advanced level paper one na two vimeandikwa na Nicholous Asheli pamoja na vile vya kadeghe
Nakutakia maandalizi mema ya kuitwa msomi.
Hakuna kusoma kufaulu lazima
That z.daah.umepta mule mule nlpotaka kuweka hoja.bt hapo kwa history kuwa makn na kato, n mtaalamu sna wa kurudia point bt yeye ameznyambua vzur than zisti.hapa smaansh zist s mzur, hapana zist yuko vzur sana tho point zake huwa n ngumu.nadhan collabo ya vitabu hvo utaielewa vzur histor.naomba ukfka kwenye threat to the world peace hist II naomba nkumbuke.kla la her na masomo mema
Nisaidie vitabu vya EGM broThat z.daah.umepta mule mule nlpotaka kuweka hoja.bt hapo kwa history kuwa makn na kato, n mtaalamu sna wa kurudia point bt yeye ameznyambua vzur than zisti.hapa smaansh zist s mzur, hapana zist yuko vzur sana tho point zake huwa n ngumu.nadhan collabo ya vitabu hvo utaielewa vzur histor.naomba ukfka kwenye threat to the world peace hist II naomba nkumbuke.kla la her na masomo mema
Jamaa kasema kila kitu ila usisahau Oxford dictionary muhimu sana kwakoKwa History nunua Mastering history advanced level 1&2 vya Katto unaweza kuongezea na cha Zisti, kwa kiswahili Nyambari akuhusu na kwa Language nunua English advanced level paper one na two vimeandikwa na Nicholous Asheli pamoja na vile vya kadeghe
Nakutakia maandalizi mema ya kuitwa msomi.
asanten wote
nmeamn maneno yenu
zist na n.ashel is the best
uko wapi sahizi mkuuasanten wote
nmeamn maneno yenu
zist na n.ashel is the best
asanten wote
nmeamn maneno yenu
zist na n.ashel is the best
uko wapi sahizi mkuuasanten wote
nmeamn maneno yenu
zist na n.ashel is the best