Recent content by Jambo Kubwa

  1. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Mi naona hii ipo applicable kwenye kujitafuta. Lakini ukishajipata haiwork. Tunaona marajiri wengi wanapiga machine hovyo na bado matajiri.
  2. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Mayai

    Unapatikana wapi? Bei? Hizo taarifa muhimu kabla hatujakupigia simu
  3. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Uzi mzuri sana. Changamoto kubwa kwenye hili ni uongozi. Maafisa wa Halmashauri wakikaa tu ofisini wakiwa hawana hela wanasema aah twende kiwandani na wakija lazima uwape hela. Na unakua kama utararibu kila baada ya muda wanakuja, apo hadi mkuu wa kituo cha polisi wamo. Ila sio kwamba...
  4. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Waa akili sana za darasani, wanapata matokeo mazuri kwenye pepa.
  5. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Hapana, nilikua nasukuma siku kutafuta mwingine nilivyompata ikawa over
  6. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Aaah nilifanikiwa kumuacha uyu manzi asees
  7. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

    Kwa io na wasio ona mbali, wajiandae kutupa miwani si ndio?
  8. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

    Kaka liked your post
  9. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania British Council mbioni kufunga Ofisi zake Tanzania kama sehemu ya mpango wake wa kubana matumizi

    Aah nilitaka nikasome Kingereza, kumbe nishawakosa taari
  10. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

    Azimio la Musoma. Nimewai kusikia hili azimio lilikua linasema mtu asiende chuo kikuu hadi afanye kazi walau miaka miwili. Hii ilikua nzuri sana, ilifanya mtu ajitambue, ajitathmini. Akiwa anataka kwenda chuo anajua anaenda kufuata nini. Sio hii ya mtu anasoma tu afaulu wala hajui anataka nini...
  11. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    Namna rahisi ya kufanya watu wote walipe kodi ni kuwafanya watu wote wafanye kazi rasmi zinazotambulika zenye staha. % kubwa ya watanzania ni unga unga mwana, hata hizo kazi ulizozitaja watu wanafanya kwa sababu wamekosa kazi rasmi. Na pia kodi ionekane inafanya nini, nalipa kodi na sioni...
  12. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Tz bado haijali watu wenye akili sana, haijalishi mtu ana tabia mbaya kiasi gani lakini akishagundulika ubongo wake ni wa ajabu anatakiwa alindwe alelewe vizuri kwa maslahi ya umma. Sio kumuacha tu, watu wa hivi hawatokei mara nyingi
  13. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini

    Ni kweli asee
Back
Top Bottom