Salama wadau...Tafadhar naomba msaada wa Joining instruction ubiri secondary iliyopo tanga lushoto
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Umeonaeee!!! Jombaaa....wabongo atufanani......Lege aliitwa kila aina ya majina pale alipochelewesha story.....lkn nashukuru akupaniki wala kujibu jibu baya....ila kumbukeni lege akua mbinafs ata kdg........sawa wote tunapaswa kuchangia watunzi wetu ili watoke atua moja kwenda nyingine......ila...
Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.