Recent content by Jamaa87

  1. J

    Wananchi wapigwa mabomu ya machozi wakienda kushuhudia mwili wa Alphonce Mawazo hospitali ya Bugando

    yeah, hadi apatikane waziri mkuu, la sivyo ile kauli ya pinda itadumu tuu, ye alisema wapigwe tuu
  2. J

    Hivi ni kwanini Maalim Seif hataki kulipeleka suala la ZEC mahakamani?

    ah ni bora asikubali kurudia maana atakua ametuangusha wapinzani kwa ujumla
  3. J

    Kondomu ni kwa ajili ya wanandoa? Au kwa ajili ya wa malaya kuendelea kufanya ngono?

    alietengeneza condom alikusudia kuzuia mimba na kusaidia uzazi wa mpango, sasa kwasabau zipo na zinasaidia kwa kuzuia maradhi lazima zitumikee, so sio mbaya kuelimisha watu haswa vijana, ili kuwakinga na majanga ya mimba, na magonjwa, sasa wewe kama unajidai umemfunza kijana wako muache asitumie...
  4. J

    Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

    Pole sana kama alikukula akakuacha
  5. J

    Nimeshaomba kazi mara 250, sijabahatika!

    kwani kuajiriwa lazimaa? anza na biashara ya karanga tu za tsh. 10000 utamiliki duka kama kweli unania ya mafanikio, funga mkanda, kaza buti, mitandao acha kwanza, ukiulizwa vp mbona huonekani wajibu HAPA KAZI TUU.
  6. J

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    kumbe kunawatu wanadhani magufuli alishind urais? okee, yeye ndiye coz ndie kiongozi ila yeye siye alieshinda, na msipoteze muda kumdiss lowasa coz yupo vizruri sana na anakubalika, anajua afanyacho, sio lazima saana unaemdis umdis coz hapotezi chochote kwa wewe kumdis so just shut it off, yeye...
  7. J

    International Court of Justice (ICJ) na Uchaguzi wa Tanzania

    nyie jamaa hebu jaribuni kua wapole na kuwapooza wenzenu jinsi mnavyozidi kuvimba vichwa na kukumbusha wenzenu machungu mjue sio sawa, kilamtu anahasira na amirijeshi nae ni mtu tu, so tuwe wapole kila mtu anahaki, acheni watu watafute haki kwa njia yeyote wajuayo wao,
  8. J

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    late and you wont even touch anything to injure him, bull shit he need nothing but a show, if money he have a lot,
  9. J

    Kwa wanawake ambao hajawahi kufika kileleni karibuni hapa

    haupo siriaz wewe kama vp weka vitu hapa kilamtu ajifunze
  10. J

    Niliwahi kuwa changudoa: Kileleni haihitaji baunsa wala tolu

    hahahahaaaa google=PPP i like the story by the way nimejifunza
  11. J

    100% ya wanawake hawafiki kileleni

    jamaa hampo siriaz aseee, hebu mzilist dalili za mwanamke kufika kileleni kwanza alaf tufanye simple calculation hapa hapa
  12. J

    100% ya wanawake hawafiki kileleni

    ah sasa hapo mnanitisha, basi tujifunze , hivi mwanamke akifika kileleni mwanaume atajuaje? yaani ataonekanaje kwa wakati ule anapofika hapoooo mnapopaita kileleni? naomba kujifunza
  13. J

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    nasema hakuna safari za nje ya nchi, na hii ni kwasababu tunaposafiri tunaenda kufanya kazi za watu wengine (mabalozi) sasa wao wafanye nini? jenga nchi ppppmbaaaaaaffffff
  14. J

    Magufuli anaiga kwenye ilani ya CHADEMA

    yes mshkaji agonge kazi tuu, awe makini asifanye maamuzi magumu yatakayoigharimu nchi coz sisi wapinzani ndio tutapatia kick hapo, awe makini sana na wasaidizi wake wasimuaibishe
Back
Top Bottom