Recent content by JAMAA HUYU

  1. J

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  2. J

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    Juliana Mimi nakushangaa sana kwa Maelezo unayotoa ni kama mtu mwenye matatizo ya kisaikolojia. Lakini kumbuka chadema ndio waliokufundisha siasa wakakulea vizuri ndio maana ccm wanakuona lulu sasa hivi.Pia tambua chadema ni chama makini sana hata ww unalifahamu sana ila tatizo lako njaa...
  3. J

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Hata kama waligawana kwa lumbesa chadema wana account pia unaweza tupa uthibitisho zilitolewa saa ngapi?nani alisaini?benki gani walitolea hizo fedha?
  4. J

    Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Lizaboni huo ushaidi wako ungetupa na account number zilipopitishwa hizo fedha ingependezwa zaidi kwa sababu tuhuma zako hazitupi chanzo sahihi ambacho tutapata uthibitisho usio na shaka.
  5. J

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Ndugu naona unachokielezea nadhani huna uelewa nacho vizuri elewa hivi advance diploma ni sawa na degree hata kwenye ajira mnalipwa sawa,kilichokuwa kinafanyika kabla ya kuwa na vyuo vingi nchini ukitaka kusoma master UD ni lazima uwe na first class ya advance diploma kama huna sharti usome post...
  6. J

    Viongozi wa dini wapuuzieni CCM - kuombea amani

    Jamani huyo Pengo hajaenda kwenye mkutano wa maaskofu(synord) unaoendelea Vatican?
  7. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    http://www.nit.ac.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=8&Itemid=657
  8. J

    N.I.T selection 2014/2015

    http://www.nit.ac.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=8&Itemid=657
  9. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Hahahaha nitaenda kumsalimia sempoli.
  10. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Kwa kuwa kesho nitakwenda chuo tena nitauliza vizuri,cz Nina amini katika kukosolewa ila kile ninachokijua ndio nilikieleza Asante kwa changamoto zako.
  11. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Uliza vizuri utapewa jibu ni per semister
  12. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Uwezekano huo upo,lkn bei yake sikuitilia maanani so siikumbuki vilikuwa maeneo ya urafiki.
  13. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Bora kupanga chumba mkaishi hata watu wawili pia mnakuwa huru hata kupika na hata chuo kikifungwa mkawa mnaishi kuliko hostel,kuhusu hostel za nda ni sh 120000 per semester ila inabidi utumie nguvu za ziada.
Back
Top Bottom