Recent content by jakoracha

  1. J

    Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

    Mi nafikiri mihamala ya stanbank ndo mihala iliyo na majina ya ikulu ikiomgozwa na Mkuu wa kaya, na huyo mtoto wa huyo bibi anapata wapi kiburi cha kuongea mameno machafu hayo ndo maana tunasema hii nchi mtoto,mke,Mme wa kiongozi naye ni kiongozi tu ndunguzangu wana jamvi tujitahidi kuelimisha...
  2. J

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hata redio zao na tv zao zimegoma kutangaza Matokeo hila wanatangaza sehemu ambazo uchaguzi umehahirishwa
  3. J

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Uku Ngudu cdm imeshinda kwa 90% kumbuka hapa ilikuwa ni ngome ya ccm
  4. J

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mkuu mi niko mbali nipe data kuna mtu kasema kuwa cdm imechukua vitongoji vyote isipokuwa kimoja
  5. J

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Nimetokea mwanza mpaka musoma Lila sehemu nikipita vidole viwili mi nawahi kupiga kura kwa Mkiti wangu wangu wa ukawa
  6. J

    Kituo cha mafuta kinaungua sasa hapa Nansio Ukerewe

    Kwa hiyo huko UK hakuna zimamoto, inasemekana vituo hivyo ni mali werema Chacha ni jina tu
  7. J

    Kituo cha mafuta kinaungua sasa hapa Nansio Ukerewe

    Wape pole waanga wote hapo UK
  8. J

    Huyu mtangazaji si anaumwa jamani?!

    Hii si karne ya wanajamvi kusikiliza redio za udaku kama hiyo kama huna cha kupost bora ukae kimya sasa sisi tusumbuke kucomment juu ya mtangazaji asiyekuwa na A wala B pole huo muda hatuna kwa sasa tunasumbukia mstakabali wa taifa hili la tz lililochoshwa na maescrow
  9. J

    Basi la Isamilo Express lapata ajali Kwimba

    Ndo walivyo madereva wengi hati wanawahi kupumzika
  10. J

    Basi la Isamilo Express lapata ajali Kwimba

    Inasemekana RTO alikuwa bar analewa Jana kwa sababu mimi nilikuwa eneo la tukio lakini hakuwepo katika eneo la tukio
Back
Top Bottom