Kwa habari za kuaminika dereva alisababisha ajali alichukulia gari shinyanga na alikuwa anaendesha gari very roughly lakini abiria walikuwa wakimwambia anawapuuzia sana na hadi baadhi ya habiria kupiga simu kwa RTO Mwanza bila mafanikio mpaka gari kupata ajali
...
.....usafiri salama tembea na ungo au fisi !!
...
.....usafiri salama tembea na ungo au fisi !!
Habari nilizozipata punde nikuwa basi la abiria toka Moshi kwenda Mwanza jioni hii limepata ajali baada ya tairi la mbele kupasuka. Habari zaidi zitafuata.
source:RFA.