Huyu mtangazaji si anaumwa jamani?!

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
Tanzania hakuna watangazaji kuna wapayukaji kiswahili chenyewe shida badala ya kusema habari za asubuhi huwa wanasema habali na mengineyo meengi wanaboa kwa kweli na kuna wengine huwa wanaona wameshafika wanageza vijiwe vya kupigia soga story za mitaani na mineno mibovumibovu
 
itakatikiamo

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
237
225
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
taja jina la mtangazaji au nitajie frequency za hiyo redio kwa huku mbeya na anatangaza muda gani?
 
jakoracha

Member
Sep 15, 2014
69
0
Tasnia ya utangazaji wa radio kinachohusika ni sauti.Sasa nyie TBC Fm huyu mtangazaji wenu anaumwa kifua/kikohozi mpaka sauti haitoki vizuri,hamuoni mnakosea?Hakuna mbadala wa mtangazaji mwingine amshikie kipindi?
Hii si karne ya wanajamvi kusikiliza redio za udaku kama hiyo kama huna cha kupost bora ukae kimya sasa sisi tusumbuke kucomment juu ya mtangazaji asiyekuwa na A wala B pole huo muda hatuna kwa sasa tunasumbukia mstakabali wa taifa hili la tz lililochoshwa na maescrow
 
WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
Watanzania bwana mna mashauzi...!!Aliyekuomba usumbuke kocomment nani??Au unadhani kila post mpaka ucomment??!!!Unasema huna muda wa kucomment, halafu unaandika sentensi ndeeeeefu isiyo na nukta wala mkato!!
Acha :msela:
 
WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
Hii si karne ya wanajamvi kusikiliza redio za udaku kama hiyo kama huna cha kupost bora ukae kimya sasa sisi tusumbuke kucomment juu ya mtangazaji asiyekuwa na A wala B pole huo muda hatuna kwa sasa tunasumbukia mstakabali wa taifa hili la tz lililochoshwa na maescrow
Halafu TBC sio redio ya udaku acha kukariri!!! Unaji:confused2:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom