Recent content by jakomala

  1. jakomala

    Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

    hatam nimetafuta mabango kila kona sijaona
  2. jakomala

    Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    flat and curve 65inch
  3. jakomala

    Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    kuna moja ndonilimpata juzi anauza tcl 3200 hisence 2950 zote 65inch
  4. jakomala

    Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    maana kariako bei ni kama inaelekea hyo,wachina wwngine wana bei balaaa
  5. jakomala

    Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    Samsung 75 inch is 9800yuan TCL 65 inch is 3800yuan TCL 70 inch is 4200yuan hyo ni bei ya mchina moja pale guangzhou mtaani. Tv kwa kampuni nyingi wanabeba kwa 550/cbm wengine 500usd/cbm(cubic meter). sasa ili kujua gharama,unamulizia mchina wako kwamba tv pamoja na package ya mbao(ulinzi wa...
  6. jakomala

    Hii idadi kubwa ya walimu wa kike kwenye shule za mjini na miji imekaaje?

    Hao ni wake wa wakubwa hata kama shule haina uhitaji basi wanajazwa karibu karibu ili iwe rahisi kuwafikia,madume wanaperekwa kupambana huko vijjni
  7. jakomala

    Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

    unaiona kama mitikenge(mtk)[emoji38][emoji38][emoji38]
  8. jakomala

    Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

    jipya hakuna ila setting ndonaona inabadilika kulingana na brand. kwa brand konki unakuta wameongeza customization
  9. jakomala

    Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

    kama unaweza kupata hela ongeza 20000 agiza china chukua redmi note 10 global version ina features nyingi uanze na ulimwengu wa amoled 120hz,hutojutia maana updates wanatoa mara kwa mara
  10. jakomala

    Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

    f2 pop 2(B1) hizo simu hapana
  11. jakomala

    Oppo A31 64GB 4GB vs infinix note 10 128 GB 6GB

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] zote ni mtk,lkn mtk ya oppo imechangamka ila tatizo labda kutopata update.ww bajeti yako ni ngapi ili tukushauri uchukue oppo ipi
  12. jakomala

    Baada ya kusema bye bye ios

    nahisi na mm ni mojawapo wa washauri wako,thanks kwa feedback.Na mm oneplus7 pro ilifika,nafurahia super amoled,sidhani kama nitarudi lcd
  13. jakomala

    Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

    Kama bajeti yako ni 600k bc chukua redmi note 10 pro agiza Ila kwa bongo 700k
  14. jakomala

    Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

    Ukiagiza Alibaba Kuna store moja nilichukua 650k.wasafirishaji wanachaji 20usd Ila store nyingi wanauza laki 8.Yangu ipo njiani after 2weeks nitakucheki
Back
Top Bottom