Recent content by jakobuya

  1. J

    Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Kwani lazima ufanye biashara? Si uende ukajishughulishe na kazi ua kilimo?
  2. J

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Hakuwahi kufukuzwa. Zaidi, Riwaya ya Rosa Mistika haikuwa na jambo lolote baya dhidi ya Serikali. Ilizuiwa kuchapishwa kwa sababu ilionekana kama inakashifu Kanisa Katoliki Kazi ya Kezilahabi iliyokuwa mwiba kwa Serikali ni Kaptula la Marx. Nayo ilipigwa marufuku na haikuchapishwa mpaka...
  3. J

    Kigoma: Waliosimamishwa na Waziri mkuu walirudishwa kazini

    Sheria gani hiyo? Kama hujui si ukae yu kimya? Mwizi anaundiwa Tume ya nini wakati kazi ya kuchunguza fraud yoyote ni ya Polisi au TAKUKURU? Hao wakihidi kuna ukweli wanapeleka shauri Mahakamani na Mtumishi akipatikana na hatia automatically anakufukuuzwa kazi
  4. J

    Serikali yaibwaga CHADEMA katazo la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa

    Haya hukumu ya kesi iliyompa dhamana tundu lisu ilihukumiwa saa 3 za usiku. Mbona hiyo hukuhoji?
  5. J

    Chuo gani kinatoa Post graduate Diploma in Monitoring and Evaluation?

    Sijawahi kuona hiyo kitu. Labda usome PGD in Projects Management. Ndani yake utakutana na kozi ya Monitoring and evaluation. Ipo Kenyatta University, Arusha Centre
  6. J

    DC wa Kongwa, Deogratius Ndejembi aorodheshwa kati wa wadaiwa Stanbic walioshindwa kurejesha mkopo

    Tunafahamu sura yake au hata sura mdaiwa anafanana na mhe. DC?
  7. J

    Hatima ya waliosoma diploma na wakapata 3.4 gpa kushuka chini (lower second)

    Katafute vyuo nje ya nchi e.g. Uganda na Kenya na kama huna fedha kaa chini utumike na hiyo diploma yako
  8. J

    Musoma wachangishwa fedha za chakula kwa wanafunzi

    Tshs 10,000 kwa mwezi (siku 20 za masomo) ni sawa na Tshs 500 kila siku. Je, hata nyumbani kwako anaweza kula Tshs 500 akashiba? Tshs 500 mbona hazinunui hata chupa ndogo ya gongo huku kijijini kwetu na ndugu zangu wajita wanalewa kila siku? Tuache kuchezea elimu aisee
  9. J

    Rais Magufuli: Nasikia sasa Sinza nyumba zimekosa wapangaji

    Hapana, hamuwezi ku enjoy wote bali waliokuwa wana enjoy watakoma ku enjoy lakini walikuwa hawa enjoy nao pia hawata enjoy. Tafsiri yake ni kwamba walikuwa wanaishi kama Malaikq sasa wataishi kama shetani lakini waliokuwa wanaishi kama mashetani hatujaelezwa kama sasa wataanza kuishi kama Malaika
  10. J

    Kisheria nani ana mamlaka ya kuwaetua Wakurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa, Wilaya na Miji?

    Hapana, Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa. Zamani Waziri mwenye dhamana hiyo alikuwa ni Waziri Mkuu kwa sababu ilikuwa ikiitwa Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI. Kwa sasa, Rais ameiondoa chini ya Waziri Mkuu na ameipeleka Ofisini kwake na inaitwa Ofis ya Rais -...
  11. J

    Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

    Jamani, acheni uhongo! LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sejondari. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 tulikuwa nae diploma...
  12. J

    Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

    Huyo ana kesi ya kufisadi ardhi mwanza
  13. J

    Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

    Jeshi Lupembe alishapandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi. Pia mkewe alikuwa ni DAS wa Wilaya ya Moshi, naye katosqa aisee
  14. J

    Huyu mkuu wa wilaya ndie aliyezimia Mufindi

    Huyo DC Ntinika William Paul baada ya kuzimia Mufindi alipelekwa Magu. Huko nako kapaharibu ni hakuna mfano. Ana tuhuma za kutengeneza barabara kwa milioni 103 kwa imprest. Pia alichota 10m kwa kuwatumia vijana PCCB wakamwamuru azirejeshe. Lakini ni hodari wa kuimba mashairi wakati wa Mwenge na...
  15. J

    Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    Kwanza mwandishi wa barua hiyo naye ni Afisaelimi feki maana hajui misingi ya mawasiliano serikalini. Kama angekuwa anaijua adingesaini barua hiyo kwa cheo chake maana yeye sio kiongozi wa taasisi
Back
Top Bottom