Recent content by JAKOBO

  1. JAKOBO

    Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    Hata waliohamia Act sio waha mkuu niwa bembe,hakuna muha mwenye akili timamu atajiunga kundi la wadini nawabembe
  2. JAKOBO

    Je, Kangi Lugola kachukua fomu ya Ubunge

    Mwaka huu kuna uwezekano wabunge wengi wa Chadema wakapita bila kupingwa na Ccm,hata hapa Kigoma mjini Ccm bado wanaiogopa Chadema yaani hawaoni wakupambana na Chadema!
  3. JAKOBO

    Khalid Kagenzi, anayedaiwa kupanga kumuua Dr. Slaa na Moses Machali, Wajiunga na ACT-Wazalendo

    Huyo Msaliti ametuvunjia heshima watu wa Kigoma,tunaamini heshima italudi kwetu baada ya kumpiga chini kwenye uchaguzi mkuu ujao na bahati nzuri amejileta mwenyewe Kigoma mjini
  4. JAKOBO

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Mbona hata Zitto anahujumu Democracy ambayo ndiyo ingeweka vizuri uchumi?.Hatuko tayari kuwa na mtu yeyote anayehujumu upinzani wakweli kwa sababu ya interest zake za tumbo lake
  5. JAKOBO

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Kiukweli naungana na mleta mada.Kuliko Zitto ashinde hapa Kigoma mjini ni bora Ccm washinde,tutafanya kila linalowezekana huyu msaliti tumdharilishe nasisi.Sio lahisi Zitto ashinde hapa Kigoma mjini
  6. JAKOBO

    Mpambano wa Lema na tume ya uchaguzi Arusha, Lema aibuka mshindi

    Eti Azimio la Tabora,badala ya Kigoma tukajua tu moja
  7. JAKOBO

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Kweli mkuu,maana hawa nao nijanga lingine lakitaifa.Acha yawakute wanakera
  8. JAKOBO

    UKAWA sioni atakayepata jimbo

    Teh teh
  9. JAKOBO

    Kikwete: Nasikitika kuacha watanzania wengi wakiwa Maskini

    Viongozi wa Ccm nadhaniwatakuwa na raana kutoka kwa Mwenyezi Mungu yakuwafanya mpaka wawe wasahaurifu kwa ya jana,sihuyu huyu juzi tu amesema hahitaji misaada eti wanampa mashariti?.Huko anaombaomba nini tena?.Mbona huyu Mzee wetu anaendelea kututia aibu?
  10. JAKOBO

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Huyu dogo tulishamzowea ukigeugeu na uongo wake,hiyo Bandari ya nchi kavu hapa katosho niipi mbona siijui au yawachawi wanapokutana?.Kwahiyo tumuamini kwa kusema atagombea kipindi kimoja tu kama alivyosema 2015 hatagombea Ubunge tena?,au ndio Sarakasi mpya ya Urais tena
  11. JAKOBO

    CCM ni janga la Kitaifa, soma hapa

    Unaona sasa akiri za ki ccm,mtu aliyetoroka mirembe dawa yake nikufuta uzi wake au kumtafuta ili kumludisha hosp?
  12. JAKOBO

    Mangula ataja vigezo 13 vya urais: Kama huna pisha wengine

    Kama vigezo hivyo vitazingatiwa kweli tofauti na zile porojo zao zakila siku namshauri atafute wagombea nje ya Ccm,lakini ndani ya Ccm hawezi kumpata hata anayekaribia kuvifikia
  13. JAKOBO

    Mdahalo wa Watangaza nia CCM: Live on Azam TV

    Sasa kama wagombea wa Ccm wanaanza kuogopana mdaharo wao kwa wao itakuwaje siku wakiwa na Dr Slaa?, siwatahama nanchi sikuhiyo?.Tulishasema hakuna mtu wa Ccm mwenye utashi wakweli wakuwatoa watanzania kwenye umasikini zaidi yakuwaibia tu.Huo niushahidi mwingine oneni
Back
Top Bottom