nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,458
1. Mpaka sasa TBC1 haitazamwi na watazamaji wengi sababu imekuwa kama ni television ya CCM
2. Mavazi yenye rangi yenye rangi ya njano na kijani hayana mvuto tena wala hayavaliwi kama zamani maana ukivaa unaonekana kama kibaka
3. Shule zote zile zamani zilijulikana kama za wazazi (ccm) hazifaulishi na haziwezi kushindana na shule huru sababu ya wizi
4. Viwanja vya michezo ambavyo kimsingi ni vya wananchi ( vilijengwa kwa nguvu za wananchi) ccm imejimilikisha na hivyo michezo yote imedorora.
5. Vyeo ambavyo watu waliheshimika sana zamani kama RC, DC, Uwaziri siku hizi ukijitangaza hivyo unaoneka mwzi tu.
Kifupi ccm ni janga
*FISADI PAPA LEO ANATAKA ACHUKUE NCHI ILI AENDELEE KUTUIBIA.