Hivi karibuni kumeibuka wimbi la viongozi wengi wa ccm kutangaza nia yakuwania kuteuliwa kugombea kiti chaurais,kila mmoja ndani ya ccm anatangaza nia kwastyle yake,mpaka leo tumeshawasikia wengi ambao natumai wafuatiliaji wamaswala yakisiasa mtakuwa mnawajua.
Napata wasiwasi napia nawataka...
Ndugu point yangu ni, je nisawa kwa shangazi yake kumpokea nakuishi naye hata wiki nzima ilihali anajua kuwa anaishi namwanamme?
Nimeomba ushauri kwamaana isijekuwa mm ndio namtizamo tofauti.
Ndio maana nikasema "tumeishi wote kutokana nasababu flani" ila mchakato wandoa ulikuwa uanze mwezi wanne ila alipata msiba wababa yake hivyo tumeirusha mpaka mwezi wasita
Asante kwaushauri,nitalifanyia kazi maana hatajana nabaridi hili nimelala mwenyewe kitandani,chumba kilikuwa kikubwa kama disco alafu upo pekeyako naviti wametoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.