jakackseru
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 132
- 27
- Thread starter
- #21
Kama bado hujamuoa huna mamalaka nae sana. Ni yeye mwenye maamuzi ya kukusikiliza au laah. Fanya kama unatangaza nia, uone heshima itakavyorudi.
Ndugu nimeshatangaza nia kama umenisoma vizuri nailikuwa nifanye hivyo mwezi wanne ila alifiwa nababa yake ikabidi tusogeze mbele mchakato