Recent content by Jajani

  1. J

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bank ya NMB ina utaratibu wake ambao ni kuwajaza wateja bila kujali kama watapata huduma bora au bora huduma.
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Wamefika mwisho na Kingunge wao na sumaye vijana wamegawana shamba yake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Lowassa atachokwa Haraka sana na Watanzania Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais

    Lowassa kweli ? Anasema yeye ni Rafiki wa mama lishe, Bodaboda nk. Hizi porojo tu kwa sababu zimeanza wakati wa kampeni. Angeanza wakati uleee labda angekuwa anamanisha. Huko mmoja tu aliyejaribu kufanya vizuri kwa watu wake ni Gadafi na sababu alianzia mbali na mkakati wake. MAGUFULI...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia: Kwanini Lowassa anahutubia kwa muda mfupi sana?

    Hana porojo !!!! Nani hana porojo au hawezi kuongea na ndiyo maana mic zinakufa ikifika zamu take lkn Mbowe na Sumaye zinapona. Mmepotelea wapiii ?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Facts: Kwanini Magufuli kamshinda Lowassa ndani na nje ya CCM

    Hasira ni hasara na haina faida ng'oo haya ukimchukia rais ni Magufuli tu na wengine woote ni wasindikizaji waaminifu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM kutopata kura za watumishi wa serikali

    Kumuunga mkono Magufuli ni lazima kwa ajili ya watumishi wote wanaoipenda nchi hii. Kwa sababu Magufuli ni kiongozi bora kwa sisi watumishi na siyo bora kiongozi. Wewe uliyeanzisha Uzi huu ni vema kama unafanya utafiti, lkn kama upo serious na maana hii umeingia choo kisichokuhusu. Hapa ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Kariakoo ni carriers call yaani wapagazi walopokuwa wanapatikana ili kwenda kubeba mizigo kwenye meli bandarini
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kisheria wa kubadili jina lako

    Ukimaliza shule na kupewa cheti, hilo ndilo jina lako linotambulika kwenye cheti husika. Huwezi kubadili au kufuta na kuandikisha upya.
  9. J

    JamiiForums Tanzania 'Watu wamefika bei" Mbowe

    no evid
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!

    mkumbo utawaua tu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Ukawa mwanzo wake lazima uwe sawa na mwisho wake tu. Mtu Mwenyewe busara akikwambia tufanye jambo la kipumbavu, nawe ukafanya. Huyu lazima atakudharau tu. Hili ndilo linaloendelea Ukawa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 9 kutoka USA anakuja kutoa semina ya ujasiriamali na familia Tanzania

    Ukidharau hesabu ni lazima una Matatizo ya kufikiria. Reasoning capacity yako ni ndogo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ACT Wazalendo wapata mwaliko Ujerumani

    Tafsiri ya maneno na ukweli tu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Agawa nusu ya utajiri wake kwa masikini

    MUNGU aendelee kumbariki tena sana. Siri ya kibarikiwa ni kutoa kwa nguvu na furaha ukiwa na amani moyoni.
  15. J

    JamiiForums Tanzania General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    Upuuzi wa kufilisi viwanda umetufikisha pabaya kiasi cha kuwa wayegemezi wa kila kitu toka tyres hadi njiti za kuchonoa kwenye meno. Mambo kama haya huyapati China
Back
Top Bottom