Viongozi wa ACT Wazalendo wapata mwaliko Ujerumani

Viongozi wa ACT Wazalendo wapata mwaliko Ujerumani

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
340
Viongozi wa ACT Wazalendo safarini Ujerumani kwa mwaliko wa chama cha Die Linke

Mwenyekiti wa chama cha ACT - Wazalendo mama Anna Mghwira akiongozana na katibu mkuu Ndugu samson mwigamba na katibu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ndugu Venance Msebo leo tarehe 15 julai 2015 wameanza ziara ya siku saba nchini ujerumani kwa mwaliko wa chama rafiki cha kijamaa (Die Linke Party).

Katika ziara hiyo pamoja na kutembelea die linke party, watapata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani na pia watafanya mkutano na watanzania wanaoishi nchini ujerumani katika kuwahamasisha kuchangia maendeleo ya nchi yao na pia kutafuta fursa kurudi nyumbani kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na kupiga kura ifikapo Oktoba mwaka huu.

Imetolewa na afisa habari,

ACT - Wazalendo

Abdallah Khamis

15 julai 2015
 
Viongozi wa ACT Wazalendo safarini Ujerumani kwa mwaliko wa chama cha Die Linke

Mwenyekiti wa chama cha act wazalendo mama Anna Mghwira akiongozana na katibu mkuu Ndugu samson mwigamba na katibu wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ndugu Venance Msebo leo tarehe 15 julai 2015 wameanza ziara ya siku saba nchini ujerumani kwa mwaliko wa chama rafiki cha kijamaa (Die Linke Party).

Katika ziara hiyo pamoja na kutembelea die linke party, watapata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani na pia watafanya mkutano na watanzania wanaoishi nchini ujerumani katika kuwahamasisha kuchangia maendeleo ya nchi yao na pia kutafuta fursa kurudi nyumbani kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na kupiga kura ifikapo Oktoba mwaka huu.

Imetolewa na afisa habari,

Act wazalendo

Abdallah Khamis

15 julai 2015
 
Hivi afisa habari ni Abdallah Hamisi au Mwl. Kaijage?
 
Walikua wanapinga ziala za dk slaa ajabu wanafanya yale yale
 
Ujerumani si ndiko Msaliti alipokuwa anatumiwa pesa na usalama wa taifa anachukulia huko? Wanaenda kuchukua zilizotumwa karibuni?
 
hata waalikwe MWEZINI haitasaidia, ukishafanya dhambi ya usaliti, ile dhambi haikuachi itakutafuna tuu
 
Hongerene ACT Kwa huo nwaliko

Naona yule dada aliyekuwa na jukumu la kupokea mrungula na kumtumia kiongozi mkuu sasa ameamua kujikita kikamilifu ndani ya act,chama cha familia yake.
 
Back
Top Bottom